Mchagulie kati ya hizi utamshangaza..:-
- Fame lady Gaga
-La vie est belle
-Coco mademoiselle
-Gold dust
Body oil(hii anapaka kwenye ngozi then hizo za juu anapuliza kwenye nguo)
-vanilla
NB: hizo zote ni Brand ambazo bei yake inaanzia 100 US$$ { ingawa kuna shortcut unachukua ya kupima kama upo dsm}