Pafyumu za Kiarabu ndio habari ya mjini, unanukia vizuri kwa bei chee..Achana na brands!

Pafyumu za Kiarabu ndio habari ya mjini, unanukia vizuri kwa bei chee..Achana na brands!

Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri.

Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu wala usiangaike na brands kubwa kubwa sijui versace, gucci, polo, creed. Waarabu wanatoa unyunyu hauna tofauti kabisa hizo brand kubwa tena unakaa kwenye nguo 48 hrs achana na wanaosema pafyumu za arabuni zina majini.
Kwa wale wakiume tafuta pafyumu inaitwa Alshabab au Jazzab then utaniambia. Ni sh elfu 30 tu lakini utanukia vizuri kuliko mwenye boss au calvin klein ya laki 3.

Nb sijataja maduka sababu mtasema napiga promo.
Sehemu gani nikaangalie hizi kitonga.. Maana mambo yamekuwa mambo (in dar)
 
Mm huwa napenda ninukie ile harufu ya binadamu harufu halisi (sio jasho)
 
Hiyo elfu 30 sijaenda kununua unga na mchele,na gesi imeniishia na hizi mvua mkaa shida.?? Na hiyo sijanunua mafuta ya baby care na Nivea ya buku 5 deodorant?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom