Pafyumu za Kiarabu ndio habari ya mjini, unanukia vizuri kwa bei chee..Achana na brands!

Sehemu gani nikaangalie hizi kitonga.. Maana mambo yamekuwa mambo (in dar)
 
Mm huwa napenda ninukie ile harufu ya binadamu harufu halisi (sio jasho)
 
Hiyo elfu 30 sijaenda kununua unga na mchele,na gesi imeniishia na hizi mvua mkaa shida.?? Na hiyo sijanunua mafuta ya baby care na Nivea ya buku 5 deodorant?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanza zile zinaweza kukuletea majini unukiaji wake HAPANA kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…