Page maalum kwa walaji wa kitimoto

Jamani mnanitamanisha bure na hivi sijaila kama mwezi lol!!!!!!

Inbox mimi halafu tukutane pale kontena kwa Rasta, kilo moja na ndizi mbili mbili roho kuntu kabisa.
 
inbox mimi halafu tukutane pale kontena kwa rasta, kilo moja na ndizi mbili mbili roho kuntu kabisa.

yani na mimi pale kontena ndio machimbo yangu ya hii nyama, alafu nilikuwa sijuagi kama ya kuchoma ni tamu weeeeee kuna siku niliila mbona niliona haitoshiiiiiiiiiiiiii.
 
Gedoh eenh.. Narudi mjini siku si nyingi anzia leo.. Hebu nipe chimbo nije nipate kitimoto na masanga na toto langu la kimarangu wangu..(somo wa yule aunt yako, si unakumbuka tukiwa form 5 nilikwambia kumuhusu eenh?)
 
Gedoh eenh.. Narudi mjini siku si nyingi anzia leo.. Hebu nipe chimbo nije nipate kitimoto na masanga na toto langu la kimarangu....(somo wa yule aunt yako, si unakumbuka tukiwa form 5 nilikwambia kumuhusu eenh?)
 
Gedoh eenh.. Narudi mjini siku si nyingi anzia leo.. Hebu nipe chimbo nije nipate kitimoto na masanga na toto langu la kimarangu wangu..(somo wa yule aunt yako, si unakumbuka tukiwa form 5 nilikwambia kumuhusu eenh?)

Machimbo yako milioni elfu tisini kidogo. La ukweli ni pale regent kwa Rasta, ila kama unapenda kujificha kuna lingine liko ndani Mikocheni wanaita kwa Kayombo-hapo mpaka malaya wapo. Kama hapo pakikera njoo Forest Bar karibu na Mti Pesa kwa madalali...

​
 
yani na mimi pale kontena ndio machimbo yangu ya hii nyama, alafu nilikuwa sijuagi kama ya kuchoma ni tamu weeeeee kuna siku niliila mbona niliona haitoshiiiiiiiiiiiiii.

Maneno meengi kama MC, mbona huji inbox tukayapanga vizuri sasa?
 
Tegeta nitapata wapi makitu hii?
 
jameni zanzibar hii kitu inapatikana wapi? hata kwa pm bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…