Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habarini Wana Jf.
Good news Ni kuwa Page ya Grammy umeona efforts anazozofanya kijana mpambanaji na msanii A-List Africa (Diamond platinumz, Burnaboy na wizkid) kuwa anastahili Grammy.
Na hii imwtokana na Chachu ya BET nomination na warner music group kuliko watapromote Album yake inayoenda kuitambulisha lugha ya kiswahili duniani, yaani Swahili nation.
Pia, ikumbukwe kuwa Sweatzbeat ndio producer mkubwa wa album Kali ya kukata na shoka ya Diamond Platinumz (Simba) to the world.