Page ya Grammy kuonesha show ya Diamond Platinumz iliyofanyika Dar es Salaam, ni ishara nzuri ya kushinda Grammy 2021/2022

Page ya Grammy kuonesha show ya Diamond Platinumz iliyofanyika Dar es Salaam, ni ishara nzuri ya kushinda Grammy 2021/2022

Hivi mkuu Diamond anakujua ?

Unajituma sana kumtakia mema, kuliko hata unavyojitakia mema wewe mwenyewe au familia yako.

Hii ndio REAL LOVE.
Kwan kunaubaya wowote kumtakia mtu mwingine mema..?
Mara nyingi nakuona kukosoa pale yanapoongelewa mazuri ya abdul ila kwenye mabaya unasapport, acha roho mbaya⚠️
 
Yeah maana anakuwa wa pili Africa after Burnaboy
Jinga kabisa weeee,unawajua ladysmith black mambazo,angelique kidjo,yousso n dour,baaba mali....yani hawa wajinga wa production za fruity loops na kuweka auto tune kuficha ma vocal yao mabaya washinde grammy?kwa akili yako unadhani burna ndo wa kwanza kushinda grammu africa
 
BET wathungu hawatazami na weusi wanabagua watu kutoka Africa...kajipange
 
Jinga kabisa weeee,unawajua ladysmith black mambazo,angelique kidjo,yousso n dour,baaba mali....yani hawa wajinga wa production za fruity loops na kuweka auto tune kuficha ma vocal yao mabaya washinde grammy?kwa akili yako unadhani burna ndo wa kwanza kushinda grammu africa
Kuna msanii mwenye sauti mbaya kama burna boy na DAVIDO kama chura[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom