We kibabu Veep, tulia hvyo hvyo dawa inapokuingia taratiibu kabisa...!!Hivi mkuu Diamond anakujua ?
Unajituma sana kumtakia mema, kuliko hata unavyojitakia mema wewe mwenyewe au familia yako.
Hii ndio REAL LOVE.
Aisee, Wazazi wako wanajua?We kibabu Veep, tulia hvyo hvyo dawa inapokuingia taratiibu kabisa...!!
Kwan kunaubaya wowote kumtakia mtu mwingine mema..?Hivi mkuu Diamond anakujua ?
Unajituma sana kumtakia mema, kuliko hata unavyojitakia mema wewe mwenyewe au familia yako.
Hii ndio REAL LOVE.
Kwann hamtolala mkuu...?Siki diamond akipata grammy atutolala.
Wameishiwa pumzi[emoji23]Ile petition inaendeleaje wakuu??
Kwani Grammy inasemaje, Diamond platinumz anachukua trust me 2021/2020l2Bwana mdogo Inno wewe na wenzako wengi bado hamjaijua Grammy vizuri aisee.
Nenda website yaoIpo wapi hiyo page? Weka picha/link.
Yeah maana anakuwa wa pili Africa after BurnaboySiki diamond akipata grammy atutolala.
Lina wivu Hilo libabu mkarukaKwan kunaubaya wowote kumtakia mtu mwingine mema..?
Mara nyingi nakuona kukosoa pale yanapoongelewa mazuri ya abdul ila kwenye mabaya unasapport, acha roho mbaya[emoji3544]
Diamond akimshinda Burna Boy na kuchukua hiyo tuzo ya Grammy, nitakununulia kanga doti ishirini.Kwani Grammy inasemaje, Diamond platinumz anachukua trust me 2021/2020l2
Jinga kabisa weeee,unawajua ladysmith black mambazo,angelique kidjo,yousso n dour,baaba mali....yani hawa wajinga wa production za fruity loops na kuweka auto tune kuficha ma vocal yao mabaya washinde grammy?kwa akili yako unadhani burna ndo wa kwanza kushinda grammu africaYeah maana anakuwa wa pili Africa after Burnaboy
Unajua maana ya BETBET wathungu hawatazami na weusi wanabagua watu kutoka Africa...kajipange
Wanaopigwa ubo..ro na Diamond mnaonekana tuWe kibabu Veep, tulia hvyo hvyo dawa inapokuingia taratiibu kabisa...!!
Kwamba anabanishwa pua?Aisee, Wazazi wako wanajua?
Hahahaha eti "Veep" halafu utakuta anaamkiwa shkamoo baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, Wazazi wako wanajua?
Kuna msanii mwenye sauti mbaya kama burna boy na DAVIDO kama chura[emoji23][emoji23][emoji23]Jinga kabisa weeee,unawajua ladysmith black mambazo,angelique kidjo,yousso n dour,baaba mali....yani hawa wajinga wa production za fruity loops na kuweka auto tune kuficha ma vocal yao mabaya washinde grammy?kwa akili yako unadhani burna ndo wa kwanza kushinda grammu africa
Unayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]