Page ya Grammy kuonesha show ya Diamond Platinumz iliyofanyika Dar es Salaam, ni ishara nzuri ya kushinda Grammy 2021/2022

Hivi mkuu Diamond anakujua?

Unajituma sana kumtakia mema, kuliko hata unavyojitakia mema wewe mwenyewe au familia yako.

Hii ndio REAL LOVE.
Tenaa, Bora angekuwa underground, labda anaweza kumtoa Kama zuchu alivyokuwa chawa wa mond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…