Page ya NECTA facebook

Bampcm

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
43
Reaction score
4
Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya mtihan inbox
 
Ha ha ha..ujinga mwingne bana.
 
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako..!
 
 
Umeambiwa necta hawana acct ya facebook lilofungua ile page ni lihuni tu
 
 
hiyo siyo web ya baraza na waliwahi kuikana kupitia vyombo vya habari!
 
Lakini kuna tetesi kuwa matokeo yako tayar ivi ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…