Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya mtihan inbox[/QUOTE
bila shaka utakuwa we ni product ya Mulugo kama unasuburu matokeo ukifauru mi najinyonga kwa spider web
We kwel cholob

nifaulu mara ngapi bro?
Pole sana!
hiyo siyo web ya baraza na waliwahi kuikana kupitia vyombo vya habari!
achana na tetesi zitakupa pressure bure subiri kitu live!!Lakini kuna tetesi kuwa matokeo yako tayar ivi ni kweli