Page ya Russian Today (RT) haina habari ya ujio wa Rais Samia. Jamaa wanatudharau pia?

Si wamesema ameenda chuo cha zayoni cha Russia? Mainstream media haiwezi kupata habari za uswazi tena chuo cha veta? Huenda hata putin hawaonani tukarushiwa picha za AI hapa, sintoshangazwa kbs na masisiemu kama wanaweza kuforge uchaguzi mzima itakuwa kuunda pics tu?
 
Wataona kule St Persburg
 
Hujaona mapokezi yenyewe? Jamaa wana dharau sana
 
Ila Watanzania....😂 Hampoi kabisa, mpk watu waweke magunzi kwa masikio maana munapekenyua kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…