Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

Halafu huyo mume baada ya kuyafanya hayo bado anakula chakula alichotengenezewa na mkewe? Kuna wanaume wana roho ngumu? Yaani wanafanya madudu kwa mtu ambaye anauwezo wa kuwatowesha duniani siku yoyote akiamua!

Sasa ulitaka akale wapi?

Hivi ile kitu mtu akiichomeka na kuichomoa haipungui krosi seksheni eria, dayameta wala volume inakuwaje mnaililia wivu namna hii? Yaani hamtaki hata wadogo zenu wafaidi jamani? Ingekuwa inapungua si mngeuana sana nyie?
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Hii thread imenifumbua macho kuhusu jinsia hizi mbili..... Zamani nilikuwa nikiambiwa kuwa wanawake ni viumbe dhaifu (sijui katika nyanja zipi) but leo nimeamini kuwa wanaume ndio viumbe dhaifu na udhaifu wao hauponyeki....yaani watu mnakaa kutetea jambo hili kweli? Eti kashawishiwa na vipedo na vimini ye ni mwanafunzi ambaye ndio kwanza kabalehe asiyejua kuchambua jema na ovu??
Hivi mwanamke naye akipewa mimba na mdogo wa mumewe naye tumshauri mume amsamehe kwa kuwa mwanamke ameshindwa jizua na vishawishi vya shemejiye?? Mboma tunataka tuishi kama jamii za wanyama hayawani??
 
Halafu huyo mume baada ya kuyafanya hayo bado anakula chakula alichotengenezewa na mkewe? Kuna wanaume wana roho ngumu? Yaani wanafanya madudu kwa mtu ambaye anauwezo wa kuwatowesha duniani siku yoyote akiamua!

Kwanini asile MJ1 hakuna raha duniani kama ya kula na nduguyo.
Huyu hapaswi kuchukia au kupandwa na hasira kala na nduguye
 
When You are in love and You get hurt, it's like a cut... it will heal, but there will always be a scar.
 
Sasa ulitaka akale wapi?

Hivi ile kitu mtu akiichomeka na kuichomoa haipungui krosi seksheni eria, dayameta wala volume inakuwaje mnaililia wivu namna hii? Yaani hamtaki hata wadogo zenu wafaidi jamani? Ingekuwa inapungua si mngeuana sana nyie?
mkuu una mke/mume wewe, ngoja waje wakumegee na wewe ndio utajua tatizo sio kupungua kwa ile kitu
 
sijafikia ndoa but naamini kila kitu ni uvumilivu tu mpz,kama kweli nampedna ndogo wangu ntavumilia yote maana huyu ni ndugu yangu,na huyu ni mdogo wangu,hakuna lisilowezekana ndio maana tumefanya mabaya meeeeeeeeengi lakini mpaka sasa tunahema bure kabisa,bwana angehesabu maovu nani angesimama?
 
..naughty, naughty!...tempting, tempting! Thanx. Ile 'Senks' uliyonigongea pale is enough... for the time being!:dance:
 
Kwanini asile MJ1 hakuna raha duniani kama ya kula na nduguyo.
Huyu hapaswi kuchukia au kupandwa na hasira kala na nduguye
kizuri kula na nduguyo au sio?
cha muhimu tu USIBAKE...!
ukiwa na uwezo wa kushawishi au UKIJENGEWA MAZINGIRA,kula tu....
SHEMEJI KULA WANAITA WAKINA MKUUU P-O-N-J-O-L-O:becky::becky::becky:
 
tatizo mkuu ni mfumo dume. mwanaume kijogoo, mwanamke malaya
 
Sasa ulitaka akale wapi?

Hivi ile kitu mtu akiichomeka na kuichomoa haipungui krosi seksheni eria, dayameta wala volume inakuwaje mnaililia wivu namna hii? Yaani hamtaki hata wadogo zenu wafaidi jamani? Ingekuwa inapungua si mngeuana sana nyie?
Mh.
Kwangu nitalilia wivu kama ataendaichomeka kwa jirani na mpita njia lakini kwa ndugu yangu kwa kweli sitasubiri ipungue kimuujiza nitaipunguza mwenyewe kwa kuikata na wembe amah!!
 
Kwanini asile MJ1 hakuna raha duniani kama ya kula na nduguyo.
Huyu hapaswi kuchukia au kupandwa na hasira kala na nduguye
hapo ndipo ninapozidi kuchoka Mwanajamii mie ah........... wenye nguvu za kupenda endeleeni hata siwaonei wivu hata kidogo.
 
Mh.
Kwangu nitalilia wivu kama ataendaichomeka kwa jirani na mpita njia lakini kwa ndugu yangu kwa kweli sitasubiri ipungue kimuujiza nitaipunguza mwenyewe kwa kuikata na wembe amah!!
.......:becky::becky::becky::becky:......
 
Sasa ulitaka akale wapi?

Hivi ile kitu mtu akiichomeka na kuichomoa haipungui krosi seksheni eria, dayameta wala volume inakuwaje mnaililia wivu namna hii? Yaani hamtaki hata wadogo zenu wafaidi jamani? Ingekuwa inapungua si mngeuana sana nyie?

..Mkuu, Mizaha hiyoo!! Kesha Ukiomba ili siku moja usimkute mdogo wako wa toka nitoke anajituma kisawasawa juu ya kifua cha shemeji yetu! Sijui kama utaweza kuja ku 'Sign In' JF na kutuambia maneno haya uyasemayo sasa...!😱hwell:
 
mi sioni tatizo hapo!hakuna mazingira ya ''ubakaji'' wala ''vinginevyo''......!
unajua huyo dadaangu angekuwa ''forced'' any how again nikaproove,I WOULD HAVE FALLEN TO huyo shemeji kama mvua ya mawe...!kinyume na mazingira hayo mimi nitamlaumu na kumdharau sana dadaangu....!

HIYO NDIYO IMANI YANGU
 
mkuu una mke/mume wewe, ngoja waje wakumegee na wewe ndio utajua tatizo sio kupungua kwa ile kitu

Kaka/dada, mimi nna mke na vibinti viwili. Nikimkuta kaka yangu ananimegea waifu kwa kweli ni afadhali kuliko nikute jitu baki. lol

Kama wewe ni mwanaume, hebu njoo ujaribu kwa waifu wangu ili wenzio wapate fundisho kupitia kwako.
 
hapo ndipo ninapozidi kuchoka Mwanajamii mie ah........... wenye nguvu za kupenda endeleeni hata siwaonei wivu hata kidogo.

Pole mama ukipenda uwe na moyo mgumu kama jiwe usiwe na moyo wa kioo any time unaweza pasuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…