cjui kwanini ndugu yangu nicngemdhuru bali ningemwacha dunia imfunze, lakini kwa mr wangu ctakaa nifikirie kumsamehe milele...inauma sana jamani, li hawara la nje tu huko hulijui hulifahau unakuta tu sms inaumiza ijekuwa ndugu yako wa damu?
yale yale...mhhh kwenye hizi mila zetu zinatuharibu kabisa! ctakaa niteseke maishani kwa kusema watoto watateseka, watoto wan uhawatateseka kwa kumkosa baba asiye na adabu/mzinzi/mchafu wa tabia......na hapo unaposema acmpe hata dk 1 mdogo mtu kuendelea na mume wake unamaanisha nini? kwamba afanyaje kama mdogo mwenyewe ameshasema ndio kitu alichokuwa anahitaji, cjiui nikijiona wakati kabla tanga halijavunjwa mwanaume kashaoa zamani...hii ndoa kwangu haipo kabisa, ningeivunja dk hiyo hiyo nilivyofahamu haya mambo, mambo ya kufatilia mali ni baada ya kuivunja na wala sihitaji cjui kakaratac cha kuvunja ndoa, naivunja mwenyewe kama nilivyokubali kwa hiari yangu anioe.
Jamani sisi ni watu wazima, na huyu sijui ni mwenzetu au?, ebu angalia maneno ya kijiweni anayoyatumia humu, nimeyapigia msitari mwekundu.yale yale...mhhh kwenye hizi mila zetu zinatuharibu kabisa! ctakaa niteseke maishani kwa kusema watoto watateseka, watoto wan uhawatateseka kwa kumkosa baba asiye na adabu/mzinzi/mchafu wa tabia......na hapo unaposema acmpe hata dk 1 mdogo mtu kuendelea na mume wake unamaanisha nini? kwamba afanyaje kama mdogo mwenyewe ameshasema ndio kitu alichokuwa anahitaji, cjiui nikijiona wakati kabla tanga halijavunjwa mwanaume kashaoa zamani...hii ndoa kwangu haipo kabisa, ningeivunja dk hiyo hiyo nilivyofahamu haya mambo, mambo ya kufatilia mali ni baada ya kuivunja na wala sihitaji cjui kakaratac cha kuvunja ndoa, naivunja mwenyewe kama nilivyokubali kwa hiari yangu anioe.
Jibu liko wazi, sisi waafrika tunapenda kuiga vya wazungu na huku hatuviwezi, tunapenda kujisahau, hatuweki mipaka kati ya shemeji na mume, wakulaumiwa ni huyo mama hakujiweka sawa kwenye nafasi yake, kuzuia hawa watu kuzoeana mpaka wanatongozana.
Mpendwa Nyamayao... anachokwambia Fidel80 ni kitu kinachotokea sana kwenye ndoa hizi.... Kuna cases nyingi sana za aina hii. Asilimia kubwa sana ya wanaume wanashiriki ngono na ndugu wa wake zao... Wadogo zenu (especially siku hizi) wana tabia za ajabu sana... anapokuona una amani kwenye ndoa yako, anaona kwamba unafaidi sana, anadhani mumeo anakupa kila kitu, mfano gari, pesa, nk. Sasa na yeye anahisi kwamba atafaidi the same way... Kwa hiyo anaanza kujilengesha kwa mwanaume.... na unajua wanaume ni kama panya... hata kama kuna magunia 100 ya mahindi stoo atataka ayatoboe yote ajue kilichomo, kwa hiyo usitegemee (under the sun) kwamba pindi mdogo wako atakapojilengesha mwanaume atamwacha... ni mmoja kati ya 100 atafanya hivyo.
Sasa kumbuka kwamba mpaka mdogo wako afikie kufanya haya atakuwa na ill intentions, anataka kufanya mapinduzi na ujue wanapokuwa kwenye majamboz ndio unakuta na mwanaume anatoa ahadi kedekede... akianza na Blackberry, anaambia mengine yatafuata. Kumbuka mwanaume anakuwa anamtumia tu kama kiburudisho, lakini mdogo wako yeye anakuwa na ill intentions za kumiliki... then inatokea Mimba.... U know the rest...
Lakini kumbuka pia ni vigumu sana kwa mwanaume kuzuia tamaa zake especially akiwa na binti karibu yake, mara kavaa kipedo, mara kaptula na kitopu sijui, mara nightdress nyepesii anawatakia usiku mwema, mara kanga moja, kwa kweli jamaa atafanya kila hila mpaka ampate... Msaada wa Mungu unahitajika sana katika hili.... Dumuni katika maombi
Ndoa ni Agano la MILELE - "I hate divorce, says the LORD God of Israel" Malachi 2:16
Also
"So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate" Matthew 19:6
Jamani sisi ni watu wazima, na huyu sijui ni mwenzetu au?, ebu angalia maneno ya kijiweni anayoyatumia humu, nimeyapigia msitari mwekundu.
Jamani sisi ni watu wazima, na huyu sijui ni mwenzetu au?, ebu angalia maneno ya kijiweni anayoyatumia humu, nimeyapigia msitari mwekundu.
Mpendwa Nyamayao... anachokwambia Fidel80 ni kitu kinachotokea sana kwenye ndoa hizi....
kosa litakuwa kwa mume wangu,.
Ndoa ni Agano la MILELE - "I hate divorce, says the LORD God of Israel" Malachi 2:16
Also
"So they are no longer two, but one. Therefore what God has joined together, let man not separate" Matthew 19:6
Hapa wanawake ndipo huwa mnakosea sana.
Mwenye uamuzi wa kumega au kumegwa ni nani?
:becky::becky::becky::becky::becky::becky:Wanaumem mnatutega jamani? Au kwa vile tulishaambiwa kila mmoja atawaacha wazazi wake na kuambatana na mwenzie nao watakuwa kitu kimoja? Hivi kweli mkeo atembee na kupewa mimba na mdogo wako wa kiume utamsamehe na kujitia kumtimua nduguyo? ah jamani hebu jiwekeni kwenye nafasi zetu.
Wanawake nasi tunaponzwa na mapenzi - tunapenda kinovel mno ah
nakubaliana na wewe 100% tukija kwenye Bible, lakini hapa pia Bible nitaiweka pembeni, mume kando, dada kushoto! nabaki mwenyewe.
Yaani nimekaa hapa kwenye kibanda changu nawaza..Ni mwanaume gani huyu muuaji
Asubuhi labda mama Kenda Kazini anambanjua mdogo wake mbaya labda kwenye kitanda chake na wife ..
Jioni mama karudi home jamaa anaomba unyumba kwa mama ..
Hivi kweli ina-make sense nackia kudondosha machozi baada ya kukiwaza kisa hiki kwa kina ?????:shocked:
Si bora amegwe dada au mdogo wako unakuta na li Mr. linamega wote hao kisha linakuja linamega na mama mkwe yaani vululuvululu mixer mchuzi juu wali chini