Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Ni dhambi gani ambayo inaweza kuvunja ndoa na inaruhusiwa hata katika Biblia??
Haipo!
Deuteronomy 24: 1- 4
BUT...
Matthew 19:8 (...ugumu wa mioyo yenu : kama Nyamayao in this case)!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dhambi gani ambayo inaweza kuvunja ndoa na inaruhusiwa hata katika Biblia??
Fidel kosa litakuwa la kwako, na kwa hili tofauti kabisa na nikikufumania nje
Isipokuwa kwa habari ya Uasherati..... Tena tukifuata Biblia hapa huyo mume na sweetheart wake haramu nafikiri wangewezakupigwa mawe hadi kufaNi dhambi gani ambayo inaweza kuvunja ndoa na inaruhusiwa hata katika Biblia??
akilaal na sis wangu kwangu haina tofauti na kulala na mama yangu, mtoto wake...wote hao kwangu ni sawa.
tatizo halipo hapo...!Yaani nimekaa hapa kwenye kibanda changu nawaza..Ni mwanaume gani huyu muuaji
Asubuhi labda mama Kenda Kazini anambanjua mdogo wake mbaya labda kwenye kitanda chake na wife ..
Jioni mama karudi home jamaa anaomba unyumba kwa mama ..
Hivi kweli ina-make sense nackia kudondosha machozi baada ya kukiwaza kisa hiki kwa kina ?????:shocked:
Isipokuwa kwa habari ya Uasherati..... Tena tukifuata Biblia hapa huyo mume na sweetheart wake haramu nafikiri wangewezakupigwa mawe hadi kufa
Asiwadanganye mtu. Kupiga kura ni haki yako. Usisahau kumpigia kura Mheshimiwa Dr. Slaa hapo oktoba 31.
Kuna upande mmoja wa shilingi hatujauangalia. haya maneno ya huyu binti mkosaji kwamba 'Amepata alichotaka' yanashitua kidogo. Je haiwezekani kwamba huyu mtindiga ndio alikuwa bwana wake zamani na dada ndio aliingilia kati na kuolewa yeye na ndio maana binti analipiza kisasi??
Hilo moja. Pili ni kwa yule aliyetoa ushauri kwamba mama mwenye nyumba amtimue mdogo wake lakini atakapojifungua amchukue mtoto wamlee na mumewe! Asithubutu, atajitafutia murder case bure maana hasira yote ya kuibiwa mume na mdogo wake itaishia kwa kiumbe cha Mungu. Kitakuwa kinapigwa kofi na kufinywa hata pasipokuwa na ulazima wa kufanya hivyo!
Naungana n anayesema hakuna ndoa hapo. Kila mtu aanze kivyake na zifuate taratibu tu za kugawana mali maana hiyo nyumba haifai hata kubaki na mmojawapo kwani itakuwa inawakumbusha kilichotokea. ipigwe bei na kila mtu akaanze maisha yake upya halafu wanaopendana kweli watatafutana kwa wakti wao hasira zikiwa zimeisha.
Hiki kisingizio cha kwamba msiachane kwa vile watoto watateseka haki-hold water katika dunia tuliyomo. unafokewa, huondoki kwa vile watoto watateseka. Unapigwa kofi, huondoki kwa vile watoto watateseka. Unavunjwa mkono, huondoki kwa vile watoto watateseka. Mwisho wa siku unavunjwa shingo, unaondoka kwenye jeneza na watoto wako wanabaki wanateseka zaidi kuliko ungeondoka ulipopigwa kofi! Hivi ni nani anayesema kwamba watoto wakiondoka na mama yao ni lazima watateseka???
nakubaliana na wewe 100% tukija kwenye bible, lakini hapa pia bible nitaiweka pembeni, mume kando, dada kushoto! Nabaki mwenyewe.
Mwanaume siku zote hurusha chambo ukinasa basi mwenye uamuzi wa mwisho wa kumegwa ni mwanamke na si vinginevyo.
Mwanaume hawezi lazimisha kummega mwanamke, mwenye uamuzi wa mwisho ni mwanamke mwenyewe kutanua au kubana.
Kitambulisho cha kupigia kura unacho?
Usije ukawa ulisahau mjengo wkt unadu ze nidifull.
Hapo mukulu nakupinga kwa asilimia 500.
BTW leo wikendi hatuendi kupata al-batar?........Kama kuna mtu kanionea Gaijin tafadhali aniambie kuna mambo mengi nimeyapitia humu yanahitaji ufafanuzi wa kitaaluma. (Lugha ya Taifa ihimidiwe)
Kuna upande mmoja wa shilingi hatujauangalia. haya maneno ya huyu binti mkosaji kwamba 'Amepata alichotaka' yanashitua kidogo. Je haiwezekani kwamba huyu mtindiga ndio alikuwa bwana wake zamani na dada ndio aliingilia kati na kuolewa yeye na ndio maana binti analipiza kisasi??
Hilo moja. Pili ni kwa yule aliyetoa ushauri kwamba mama mwenye nyumba amtimue mdogo wake lakini atakapojifungua amchukue mtoto wamlee na mumewe! Asithubutu, atajitafutia murder case bure maana hasira yote ya kuibiwa mume na mdogo wake itaishia kwa kiumbe cha Mungu. Kitakuwa kinapigwa kofi na kufinywa hata pasipokuwa na ulazima wa kufanya hivyo!
Naungana n anayesema hakuna ndoa hapo. Kila mtu aanze kivyake na zifuate taratibu tu za kugawana mali maana hiyo nyumba haifai hata kubaki na mmojawapo kwani itakuwa inawakumbusha kilichotokea. ipigwe bei na kila mtu akaanze maisha yake upya halafu wanaopendana kweli watatafutana kwa wakti wao hasira zikiwa zimeisha.
Hiki kisingizio cha kwamba msiachane kwa vile watoto watateseka haki-hold water katika dunia tuliyomo. unafokewa, huondoki kwa vile watoto watateseka. Unapigwa kofi, huondoki kwa vile watoto watateseka. Unavunjwa mkono, huondoki kwa vile watoto watateseka. Mwisho wa siku unavunjwa shingo, unaondoka kwenye jeneza na watoto wako wanabaki wanateseka zaidi kuliko ungeondoka ulipopigwa kofi! Hivi ni nani anayesema kwamba watoto wakiondoka na mama yao ni lazima watateseka???
Hahahaha! Pale mwarubaini kuna kunguni balaa. Una do ze niidful ukiwa umetinga viwalo. Yaani ndudu unanchomolea sruu zipu highway!
No huyu inawezekana alikuwa anamkomoa dada yake labda aliona maisha ya dada na mmewe ni mazuri akawa anayatamani ...au yeye ni nungayembe alitamani tu kumuharibia dada yake ili aone dada atafanya nini??
Hivi kumbe kuua ni dhambi ee ? ndo maana wapo wanaoua pasipo kukusudia
Hahahahaha Valuu zimepanda bei bana buku 3000 sasa hivi dah wanataka tunywe gongo?
Mkuu kumega ni makubaliano ya mwanamme na mwanamke.