Kama ulijua Klorokwini,kabla ya kufungua nipoona started by Hashycool,nilifungua nikijua kutakuwa na udhalilishaji na kweli ndo nilichokuta,He is so predictable!!:car::car:
wewe toka umetoroka na da Sophy mwaka jana ninakuangalia tuu........nimeshalia nimechoka
Kinachofanya uzalilishaji ni hiyo meza kuwa juu ambako wanafunzi wanaweza mchungulia mwanafunzi na Hashy akaona ailete hii art hapa while kuna art nyingine nyingi tu anazo?????
Njoo nikufute machozi mama......:A S-rose:
kwa nini avae vile?
Hapo ni kama unamnyanyapaa tu kaka wa watu wakati haya mambo yapo na yanakwaza wengi,mimi nikikumbuka mwalimu wangu wa hisabati form 2 alikuwa hivyohivyo,basi tangu anaingia darasani mpaka anatoka mimi utulivu ulikuwa sifuri ndani ya boxer yangu na ukizingatia kuwa wakati huo ndio balehe imekolea basi we!!Kwa upendo tu NECTA wakanizawadia F ya hesabu form two.
utaweza kunienzi kama klo wewe?....pale sipindui ujue
Ha ha ha ha,una mambo PM........:smile-big: