hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
- Thread starter
- #21
Kama ulijua Klorokwini,kabla ya kufungua nipoona started by Hashycool,nilifungua nikijua kutakuwa na udhalilishaji na kweli ndo nilichokuta,He is so predictable!!:car::car:
sasa mi nauliza hapo nani anamfisadia mwenzie? mtoto au mwalimu?