Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
- Thread starter
- #61
Andaa milioni 7 analetwa kwako tena wale weupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa milioni 7 analetwa kwako tena wale weupe
Mkuu niliwahi kusikia kumiliki farasi sio kitu rahisi sababu ya mchakato wa kisheria lakini pia ghali sana.Andaa milioni 7 analetwa kwako tena wale weupe
Nimelielewa vipi halina tatzo lolote?Pajero GDI namba B
Year made: 1998
Engine power: cc 1800
Mileage: 198,521
Bima ipo mpaka march 2021
Kadi yake ipo
Ina radio, 4 WL drive
Location Dar es salaam.
Bei 4.5mil. Punguzo kidogo kwa ajili ya mteja serious
Piga simu 0744 033 555
View attachment 1659383View attachment 1659384View attachment 1659385
Hawa ni wateja wangu acha nipige nao story.Mkuu niliwahi kusikia kumiliki farasi sio kitu rahisi sababu ya mchakato wa kisheria lakini pia ghali sana.
Sasa mbona M7 ni hela ndogo sana au jamaa walikuwa wanachangamsha genge tu.
Hili swali halijajibiwa bado. Tunaomba majibuVipi utumiaji wa mafuta, ni wastani wa km ngapi kwa lita 1?