Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Umemaliza? Umetuachia assignment kutafakari kwanini paji la uso!?
Kiukweli sijagundua kitu chochote.
 
Interesting....
Mhe.Jr japo nimetoka nje ya Uzi huu niwie radhi kuna hii meditation inayofanywa na kila kitu kina faida na hasara faida za meditation nazifahamu naomba kujua hasara zake ni zipi maana kila kitu dunia kifaida na hasara hebu nipatie

""Hasara za meditation" kati maisha
 
Hasara ni kujitenga na ulimwengu wa starehe... Yani unapoteza interest kabisa
 
Mkuu mshana mimi nilikua na swali
Hivi vipofu huwa wanaota ndoto?
Na ndoto zao zipo vipi?.yani wanazionajeonaje
 
Ndio wanaota kwakuwa vyanzo vya ndoto ni vitatu
. Mawazo
. Matendo
. Kunena
Ndoto hazihusiki na kuona tu bali na milango mingine ya fahamu

Na huwa najiuliza yule kipofu wa kuzaliwa unapomtajia mfano neno kama 'binadamu' huwa anajenga image gani kwenye ufahamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…