Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

ndiomaana ndoto utakuta unaona mambo ya ulimwengu mwingine waki kwamsha tuu ukaanza kuona macha ya kawaida unapotea
 
Jicho la tatu analosemea yule Chief Godlove kule tiktok, insta na Youtube ni lipi kwa anaefahamu...
 
2f98f270-da2a-4a42-9e39-8c89a6726e3d.jpeg
 
Nitajuaje kama hapa nilipo sasa ndio nyumbani au ndio nimezaliwa upya? Hiyo evidence ya mimi kuja kuwa paka au mtoto wa tajiri we umeijuaje kwa kutumia methodology ipi? Swali Langu lipo palepale kwa nini tupo hapa duniani, tunaishi na tunakufa? Lengo la kuja hapa duniani ni nini? Je umewahi kufikiri usingekuwa binadamu ungekuwa kiumbe gani labda? Je madhumuni ya haya maisha ni kitu gani?
Usingezaliwa ungebaki kwenye pumbu za babaako. Hamna maajabu zaidi
 
Back
Top Bottom