Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Mshana??!!

Ni macho yangu au?? Mbona hiyo picha ya pili inachezacheza wakati ni picha tu na sio video clip??!!

Hivi nini kinaendelea humu ndani??
Msijekua mmenifungua jicho la tatu nyie alaaah.....??!!
Hahahah....

Leo nimegundua janja, nimeiscreen shoot hiyo picha haichezichezi tena
 
iv bangi huwa inatumiwa vip kufungua jicho la tatu au ubani matumizi yake tafadhar
 
Aisee hii jicho la tatu nikweli kabisa maana kuna kipindi kama nikilala chali huwa natokewa na ndoto yakuwa ninakimbizwa na watu wabaya kiasi kwamba kama nikitoka kwenye ndoto nikiamka moyo huwa unanidunda dunda sana. Jambo la pili kama nikilala chali huwa naota nafanya mapenzi na msichana mzurii ile tu naamka kutoka usingizini tayari nilisha jichafua.
 
[emoji41][emoji23][emoji23]tayari unalo wee anza dozy tu kwa mshana jr
 
Imekaa sawa sawa
 
iv mkuu hii ninguvu gani? kama mtu amekusema maneno mabaya ukawa unajiuliza huyu nani amefanya ivi hupati jibu lakin baada kama siku 2 iv au 1 usiku ukiwa umelala ghafla unashtuka alaf ilo tukio linajiludia alafu unahisi kabisa mtu flan nakesho yake ukiuliza unaambiwa kuwa mtu uyouyo ndiye mwenyew kabisa. msaada tafadhal
 
Ni aina ya ufahamu unaofanana na jicho la tatu.. Ni intuitions ndani ya ubongo zinazokuletea taarifa isiyoacha shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…