Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Kasinde kwanza chuma ulete ni pepo la kimaskini na halina nguvu kivile
Pili reply yako hii majibu yake ni mengi na yanajibiwa kwenye post kama nne tofauti nitajitahidi kukuwekea link zake na pengine kuna baadhi ni naamini umezisoma

Namnani, kuna mtu amelike comment yangu nikarejea kuona niliandika nini, halafu jana usiku nimeota tena napambana na nguvu za giza au nguvu za ulimwengu roho lakini hadi nikashtuka niko macho nasali.....

Sikumbuki kama haya majibu ukishanitag kwenye nyuzi zako mbalimbali.

Nimerejeshea swali kwako tena.
 
kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga nk...solutes
 
Mshana jr sorry kwa mtazamo wako kwa nini sisi binadamu tupo hapa,lengo la kuzaliwa,kuzaliana hatimaye kufa ni nini kwa mtazamo ukijumlisha nondo mbalimbali ulizosoma na kujifunza pia.
Hapa Duniani tupo shuleni na lengo la kuzaliwa ni kujifunza lakini unapokufa maana yake unarudi nyumbani
 

Na la kuswahili kwa kugusisha Paji la uso chini connection yake ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…