Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Ok, nimekupata mkuu, je huko nyumbani ndio wapi sasa?
Je umewai kujiuliza kabla hujazaliwa ulikuwa wapi? Usinisimulie kuhusu biology nazungumzia kiroho (spiritually). Ukifa unarudi ulipokuwepo kabla hujazaliwa (nyumbani) kumbuka roho haifi sasa kule utapata matokeo yako namna ulivyoishi Duniani.

Kama uliishi vizuri Duniani muendelezo wako utakuwa mzuri unaweza kuzaliwa tena kama binadamu chini ya wazazi matajiri wakati kabla walikuwa maskini.

Kama uliishi vibaya Duniani muendelezo wako utakuwa mbaya pia unaweza kuzaliwa kama paka au mbwa au kiumbe chochote cha ajabu.
 
Nitajuaje kama hapa nilipo sasa ndio nyumbani au ndio nimezaliwa upya? Hiyo evidence ya mimi kuja kuwa paka au mtoto wa tajiri we umeijuaje kwa kutumia methodology ipi? Swali Langu lipo palepale kwa nini tupo hapa duniani, tunaishi na tunakufa? Lengo la kuja hapa duniani ni nini? Je umewahi kufikiri usingekuwa binadamu ungekuwa kiumbe gani labda? Je madhumuni ya haya maisha ni kitu gani?
 
Well said.
 
Nakukubali sana mkuu mshana mimi jicho langu la kulia linachezacheza sana hivi kwa linafanya hivyo naomba ufafanuzi wako mkuu maana linanipa fikra sana naomba Msaada wako mkuu
 
Nakukubali sana mkuu mshana mimi jicho langu la kulia linachezacheza sana hivi kwa linafanya hivyo naomba ufafanuzi wako mkuu maana linanipa fikra sana naomba Msaada wako mkuu
[emoji120][emoji120][emoji120]hakuna shida kabisa, hiyo ni normal muscle twitching
 
Nimepitia mara nyingi kusoma post zako zimenivutia sana na sasa nataka kuona mambo tofauti nimechoka kuona mambo yale yale kila siku kibaya zaidi nimehangaika sana kwa waganga lakini sikumuamini hata mmoja kwa kifupi na mengi sana ya kueleza ila naomba ufafanuzi kuhusu ipi ya kuanzia baina ya tahajudi na jicho la tatu nataka kujua na kuelewa mambo yalionizunguka nimechoka kuwaza naamini hapa ndio mahali sahihi na mtu sahihi naomba Msaada wako
 
Asante na pole sana jitahidi uanze na tahajudi huo ndio msingi wa kuelekea kufungua jicho la tatu
 
Asalaam wakuu

Nimefuatilia bandiko la Mshana Jr kwa umakini mkubwa maana mada kama hizi ni chakula ya ubongo.

Kwanza napenda kukiri kuwa jicho la tatu sio jambo la kufikirika, ni lango ambalo likifunguka basi binadamu unakuwa na ufahamu mkubwa kuliko kawaida.

Pia kwa wajuzi wa mambo ya auras na chakras wakina Rakims wanaweza kuongelea zaidi ushiriki wa jicho la tatu katida meditation.

Ni muhimu kufahamu elimu kama hizi maana zinafungua cells za ubongo zilizokuwa zimelala.

Nawasilisha.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji106][emoji115]
 
Ukiwa unaota Image inatokea kwenye Ubongo(Bila shaka kupitia third eye)..Mr Mshana hivi inakuaje Mtu anaona Matukio ambayo hayajawahi kutokea katika maisha ya muda flani,mfano mimi nimewahi kuona matukio kama mawili mwaka jana kabla ya kutokea physically mwaka huu hadi nikaogopa..kwa sasa Nina mpango wa kuwa na Diary kuandika Ndoto..
 
Jicho la tatu hilo... Una foreseen vision jiendeleze
 
Haya yote yamefichwa na Vatican city
Gusa hapa.
Internet.org
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…