OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
kuna hayakuwa sawa niliyaona tangu mapema ila nkawa namiss vitu vichache kuelewa vizuri nadhani sasa nmeelewa.Mimi nadhani tungetulia tu
Kama.mpira tumeona wote tulikuwa hovyo leo
Wewe unajua Mpira na unajua saikolojia .Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Sio wachezaji 10 tu wa first eleven ambao awakuwepo ni 13, Kama kocha una malengo makubwa uwezi kuweka nguvu kwenye bonanza Kama lile kuchosha wachezaji na majeraha alafu ukirudi kwenye michuano RASMI uanze kusuasua, Iyo michuano uwa ni ya vilabu Kama Azam, singida, Simba na vitimu vingine, kwa mfano Simba, Azam na singida ni lazima watoe macho kwenye icho kikombe maana mwisho wa msimu wataulizwa mmeshindwa kubeba ata bonanza la mapinduzi?Wewe unajua Mpira na unajua saikolojia .
Umesoma mawazo ya gamondi kwa ufasaha .
Mechi ya Leo gamondi hakutaka kabisa kushinda ukiangalia lineup aliyoanza nayo !
Kama wachezaji 10 kikosi cha kwanza hawapo na mchezaji mpya tegemeo atakayeingia first eleven hayupo maanake haileti maana kupambana sana kushinda , kwa ile beki ya kibwana , dogo wa u20 na mauya ,azam au simba wangeshinda Tena goli nyingi kelele zingekuwa nyingi na kufuta bango la 🖐🏿 na fedheha ingekuwa kubwa.
Kupanga ni kuchagua wengine wamechagua kubeba mapinduzi cup na wengine wamechagua kubeba ubingwa wa ligi kuu bara, ivyo Kila timu Ina mipango yake, ndio maana timu nyingine zimepeleka full mkoko wa vikosi vyao vya kwanza na wengine wakapeleka wakaa benchi na U20, kukataa kabisa kushiriki sio heshima kwa wakuu wa nchi lakini unaweza kukataa kwa akili kubwa ndicho kilichotokea kwa mabingwa wa nchi Yanga!Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
ulichokiona wewe ndicho kilichotushangaza wengi, wewe unadhani benchi zima la ufundi halikuona ulichokiona badala yake wakaingizwa maforward wengine tena ambao ni U20Yanga kufungwa na APR ni aibu sana kwani APR haitasema ku8wa ilicheza na Yanga Yoso bali watatamba kuwa waliifunga Yanga Original. Hii imechafua sana Brand ya Yanga. Angalu Baada ya kuongoza kwa bao moja kipindi cha kwanza Gamond alitakiwa aimarishe ulinzai lakini cha ajabu ni kuwa timu ilikue nzuri huko forwad lakini defense mbovu kabisa
Kwamba Okra na Skudu wasingeumia Yanga isingetolewa? Kwamba Gamondi asingetamka kuwa Yanga haina kikosi kipana, isingetolewa? Kwani si kweli kwamba haina kikosi kipana? Yanga wametolewa kwa kuzidiwa uwezo, na si vinginevyo. Kuonyesha kuwa walipania ila wamekwama, mechi ya kwanza dhidi ya Jamhuri walishinda 5-0Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kwanini hawakutoka mapema hatua ya awali? Yaani timu mwanzoni mwa mashindano imekutana na vibonde imewafunga goli nyingi halafu unazungumzia uharo kweli?Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Labda nikuulize tu kwanini alikuwa hayataki haya mashindano? Sababu hasa ni ipi?Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kwanini alikuwa hataki kushinda? Yaani moja ya ajira ya kocha na sharti analopewa ni pamoja na kubeba kikombe chochote kilicho mbele yake bila kujali ukubwa wa kikombe ama mashindano.Wewe unajua Mpira na unajua saikolojia .
Umesoma mawazo ya gamondi kwa ufasaha .
Mechi ya Leo gamondi hakutaka kabisa kushinda ukiangalia lineup aliyoanza nayo !
Kama wachezaji 10 kikosi cha kwanza hawapo na mchezaji mpya tegemeo atakayeingia first eleven hayupo maanake haileti maana kupambana sana kushinda , kwa ile beki ya kibwana , dogo wa u20 na mauya ,azam au simba wangeshinda Tena goli nyingi kelele zingekuwa nyingi na kufuta bango la [emoji1616] na fedheha ingekuwa kubwa.