Paka akiondoka panya hujitawala, haya huu ni wakati wa panya na ukoo wake kufurahia soka bila uwepo wa YANGA, kunawatu wamepigwa chenga ya mwili.

Yaani mashuti na kosa kosa nyingi walizokuwa wanapiga Yanga kama sio uimara sa kopa wa APR Yanga angeshinda goli nyingi halafu mtu anasema Yanga hawakuhitaji haya mashindano.
 
Yanga hawachelewi kusema APR waliingia na mapanga uwanjani.
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kwenye matokeo haya maelezo sijayaona pamoja na kutafuta kwa juhudi.
Nilichokiona ni hiki
APR 3 - Yanga 1
 
Sio wachezaji 10 tu wa first eleven ambao awakuwepo ni 13, Kama kocha una malengo makubwa uwezi kuweka nguvu kwenye bonanza Kama lile kuchosha wachezaji na majeraha alafu ukirudi kwenye michuano RASMI uanze kusuasua, Iyo michuano uwa ni ya vilabu Kama Azam, singida, Simba na vitimu vingine, kwa mfano Simba, Azam na singida ni lazima watoe macho kwenye icho kikombe maana mwisho wa msimu wataulizwa mmeshindwa kubeba ata bonanza la mapinduzi?
Maana uku kwenye ligi Awana Chao Sasa ni Bora kocha ajilipue apate pa kupozea machungu
Nakubaliana na wewe , kwa kuongezea hizi bonanza huwa zinachosha sana wachezaji na majeraha wakirudi Kwenye mashindano lazima wachemke nafuu Hata bonanza lenyewe liwe la ela nyingi kama AFL .
Angalia wydad walivyokuja kuchoka ndiyo maana vilabu vikubwa ulaya havitaki bonanza !
 
Kwanini alikuwa hataki kushinda? Yaani moja ya ajira ya kocha na sharti analopewa ni pamoja na kubeba kikombe chochote kilicho mbele yake bila kujali ukubwa wa kikombe ama mashindano.

Nipe sababu za kitaalamu tu kwanini kocha wa Yanga hakutaka haya mashindano?
Una uhakika yanga walimpa masharti ya kuchukua bonanza la mapinduzi katika mkataba wake ?
Ili yanga ipate kipimo kizuri icheze na timu iliyojuu yake caf kwa maana ya Al ahly , Mamelodi au zinazokaribia Kama raja , tp Mazembe , pyramid , espirance, na sio vinginevyo hapo ndiyo kocha ataweka first eleven yake au Hilo shindano liwe na donge Nono .
Kuweka kambi yenyewe kwa siku sio chini ya milioni 5 Mpaka 10 halafu zawadi milioni 100 na timu unazocheza nazo zipo rank ya chini .
Sasa umuumize mchezaji muhimu kwa bonanza la kitoto si itakuwa kukosa maarifa wakati kuna makombe makubwa yapo mbele.
 
Kwamba Okra na Skudu wasingeumia Yanga isingetolewa? Kwamba Gamondi asingetamka kuwa Yanga haina kikosi kipana, isingetolewa? Kwani si kweli kwamba haina kikosi kipana? Yanga wametolewa kwa kuzidiwa uwezo, na si vinginevyo. Kuonyesha kuwa walipania ila wamekwama, mechi ya kwanza dhidi ya Jamhuri walishinda 5-0
Umeshindwa kumuelewa, amemaanisha kama Gamondi angekuwa ana lengo la kushinda, angepanga wachezaji wengi waliohusika kwenye kipigo cha goli tano cha Simba yaani Pacome, Aucho, Yao, Max, wasingekosekana.
 
Sio wachezaji 10 tu wa first eleven ambao awakuwepo ni 13, Kama kocha una malengo makubwa uwezi kuweka nguvu kwenye bonanza Kama lile kuchosha wachezaji na majeraha alafu ukirudi kwenye michuano RASMI uanze kusuasua, Iyo michuano uwa ni ya vilabu Kama Azam, singida, Simba na vitimu vingine, kwa mfano Simba, Azam na singida ni lazima watoe macho kwenye icho kikombe maana mwisho wa msimu wataulizwa mmeshindwa kubeba ata bonanza la mapinduzi?
Maana uku kwenye ligi Awana Chao Sasa ni Bora kocha ajilipue apate pa kupozea machungu
Hiyo yote ni kwa sababu Yanga kafungwa
 
Una uhakika yanga walimpa masharti ya kuchukua bonanza la mapinduzi katika mkataba wake ?
Ili yanga ipate kipimo kizuri icheze na timu iliyojuu yake caf kwa maana ya Al ahly , Mamelodi au zinazokaribia Kama raja , tp Mazembe , pyramid , espirance, na sio vinginevyo hapo ndiyo kocha ataweka first eleven yake au Hilo shindano liwe na donge Nono .
Kuweka kambi yenyewe kwa siku sio chini ya milioni 5 Mpaka 10 halafu zawadi milioni 100 na timu unazocheza nazo zipo rank ya chini .
Sasa umuumize mchezaji muhimu kwa bonanza la kitoto si itakuwa kukosa maarifa wakati kuna makombe makubwa yapo mbele.
kwa hapa naweza kusema umeongea pumba
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Panya ndo wamekimbia mashindano kisa uwepo wa paka
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
wenye akili tutaishi humo,makolo kutoka sehemu mbalimbali dar walifanya party na kukesha jana...jamaa wanaishi dunia yao
 
Back
Top Bottom