cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Alikuwa hawezi kutongoza ama alikuwa hana nguvu zakiume au alikuwa shoga maana huo umri kwakweli hana mtoto hata wakusingiziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa hawezi kutongoza ama alikuwa hana nguvu zakiume au alikuwa shoga maana huo umri kwakweli hana mtoto hata wakusingiziwa
Alikuwa hawezi kutongoza ama alikuwa hana nguvu zakiume au alikuwa shoga maana huo umri kwakweli hana mtoto hata wakusingiziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo anachomwa motoAlikua chakla ila mwenza wake alikufa kitambo na ameacha USia majivu yake yachanganywe na ya basha wake plus ya mama yake then yasambazwe pamoja!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Paka nishamuona hahahaYaap na hataki sherehe ngoja nikuonyeshe huyo paka mwenyewe na huyo Karl Lagerfeld
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa je ndugu wakaribu nao hana wadogo zakeAlikua chakla ila mwenza wake alikufa kitambo na ameacha USia majivu yake yachanganywe na ya basha wake plus ya mama yake then yasambazwe pamoja!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemalizia na cat hapo mwisho maana bila hivyo ningekuwa nishaenda kimarekaniUsiseme paka sema pussycat
Duh fasta? 😈Bora umemalizia na cat hapo mwisho maana bila hivyo ningekuwa nishaenda kimarekani
Sent using Jamii Forums mobile app