Paka na Mchina

winston20

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
1,116
Reaction score
2,303
Cheka kidogo
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250],
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250],
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka[emoji250] mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka[emoji250], leta kwa
mchina, mchina anasepa nao.

Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka[emoji250], saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji
macho yamewatoka, hawana tena paka[emoji250].
Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka[emoji250][emoji250][emoji250][emoji250] wote wa kijiji cha
pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka [emoji250][emoji250][emoji250] wakijua watamuuzia mchina fasta kwa
laki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji hiki.
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Anashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha
 
Na km wasingeweza kuwapata hao paka basi wangeletewa mishikaki ili mchina arudishe chake
 
Wasingekwenda kununua Kijiji cha jirani, Nikajua angetengeneza tatizo la panya lenye kuhitaji paka mambo yangekuwa bambam
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mjini shule
 
Hatari sana[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…