Hidi wana jamvi!
Hapa mji kati (dar ) kula uhitaji wa paka weupe!! Asiye na doa hata kidogo (awe mweupe pe!) sasa kama unaye soko liko usikaliye frusaaa!!!
Naomba kuwasilishaaa!!!
View attachment 1054232
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipo ww ukipata niambiehilo soko lipo wapi? sijui kama nimewahi kuona paka mweupe ambaye hana doa
hilo soko lipo wapi? sijui kama nimewahi kuona paka mweupe ambaye hana doa