Paka ni dili hapa dar es salaam!!

Paka ni dili hapa dar es salaam!!

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
214
Hidi wana jamvi!
Hapa mji kati (dar ) kula uhitaji wa paka weupe!! Asiye na doa hata kidogo (awe mweupe pe!) sasa kama unaye soko liko usikaliye frusaaa!!!

Naomba kuwasilishaaa!!!
FB_IMG_1553577756876.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
paka wangu ana mimba ngoja tusubiri akijifungua, huenda akaniletea mamilioni.
 
Back
Top Bottom