Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Ndiyo MkuuUko serious?! Basi sawa
Nitakupa wa majaribioKama sina Panya kwangu wakukamatwa na hao Paka,
Hao Panya nao utaniuzia pia?
KaribuMkuu mi nahitaji paka rapa.
Huyu Paka mbona kama kisha lewa tayari? ataiweza shughuli kweli? au ndio itakua kulala tu kwenye Makochi muda wote?View attachment 1904438Mama shughuli huyu hapa, mie nahitaji elfu 25 tu kuja kumaliza panya wote ndani ya week 1 hamna jerry atakaebaki salama hapo kwako
Hata mimi ninaye mama yao. Ni hatari na nusu Mkuu..View attachment 1904438Mama shughuli huyu hapa, mie nahitaji elfu 25 tu kuja kumaliza panya wote ndani ya week 1 hamna jerry atakaebaki salama hapo kwako
Hapo anamkuna Mkuu. Paka wanapenda raha sanaHuyu Paka mbona kama kisha lewa tayari? ataiweza shughuli kweli? au ndio itakua kulala tu kwenye Makochi muda wote?
hahaha unamuona kalewa huyo wakati kanitia makucha hapoπ€£π€£π€£ au hauoni hapo nimemzuia nikimuachia tu kizembe ananipa kofiHuyu Paka mbona kama kisha lewa tayari? ataiweza shughuli kweli? au ndio itakua kulala tu kwenye Makochi muda wote?
Vipi kuhusa Baba yao? au yeye alipiga tu kisha akasepa?Hata mimi ninaye mama yao. Ni hatari na nusu Mkuu..
Hahahahah napenda sana paka wangu huyuHata mimi ninaye mama yao. Ni hatari na nusu Mkuu..
Hahahahah we unawaelewa hawa π π π safi sana napenda sana nyauHapo anamkuna Mkuu. Paka wanapenda raha sana
Mkuu, hadi sasa nina paka wanne. Watatu ndiyo hao nawaweka sokoni. Ninachoshukuru kwasasa tatizo la panya limeisha kabisaHahahahah we unawaelewa hawa π π π safi sana napenda sana nyau
Hakika. Mamaa huwa anataka kutoka nje. Akalitafuta na kulipata...Vipi kuhusa Baba yao? au yeye alipiga tu kisha akasepa?
ππ
Hahaa huyo usimuuze joh fanya kumkodishaView attachment 1904438Mama shughuli huyu hapa, mie nahitaji elfu 25 tu kuja kumaliza panya wote ndani ya week 1 hamna jerry atakaebaki salama hapo kwako