Paka wakamata panya wanauzwa

Hakika. Mamaa huwa anataka kutoka nje. Akalitafuta na kulipata...
Mkuu kama huko uliko kuna biashara nzuri, basi tunaweza kuingia mkataba niwe nakuagizia paka wa kutosha kwa njia ya basi kila wiki/mwezi!!

Maana huku hatununui! Tunapewa tu bure na majirani! Ukitaka wadogo, wakubwa, majike tu, au madume tu, yote yanapatikana.
 
From lawyer to mjasiria mali muuza paka!!! Ama kweli vyuma VIMEKAZA 😂😂😂😂😂
 
From lawyer to mjasiria mali muuza paka!!! Ama kweli vyuma VIMEKAZA 😂😂😂😂😂
😁😁😁😁 Nyinyi si mnatusema kwamba Watumishi wa umma hatujiongezi kufanya biashara na shughuli za ufugaji ili kujiongezea kipato!! Sasa tumeamua kuanza na biashara ya PAKA!!

Tena wewe ni shabiki wa Simba unatakiwa ununue wa kuingia nae uwanjani wakati wa mechi za kimataifa za timu yako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa Mkuu kila la heri katika biashara ya kuuza paka wakamata panya lol! 🙏🏾
😁😁😁😁 Nyinyi si mnatusema kwamba Watumishi wa umma hatujiongezi kufanya biashara na shughuli za ufugaji iki kujiongezea kipato!! Sasa tumeamua!!
 
Washawamaliza hao panya naanza kuwapa menu..., au wakati wanawakamata hao panya menu inahusika ?
 
Hivi kuna paka anayepambana na panya miaka hii?

Naona kama watu wamegeuza nyau kuwa viumbe wa kuranda randa ndani tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…