Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo umsubirie nyumbani me nitakua busy jikoni akifika unampokea wewe...
Nani anipokee? Mi nataka wewe unipokee kila siku mke wangu.
Mmh huo ukaribisho wa fasta fasta sio wa heri. Nimeghairi staki tena
una bahati ungejaribu kuja kwangu uone cha baridi....
I wish nimjue huyo aliekutuliza em fanya mchakato unikutanishe nae basi mwenza lol
Ha haaa ebu acha hizo mwenza...kizuri kula na mimi bhana!
Ukimuona Bantu lady mwambie namsaka kwa udi na uvumba
Kibaya lakini kitamu...acha uchoyo basi na wewe khaa!
Mwanangu usisahau kulabua na Faluu!
Kaniitie basi na wewe...