Pakistan ni nchi ngumu sana kuiongoza

Pakistan ni nchi ngumu sana kuiongoza

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali wa serekali kuendelea kutawala

Sababu nyingine ni mfumo wa mahakama, Pakistan mahakama mda wowote inamuondolea kinga waziri mkuu na
 
Tatizo wale jamaa ujuaji mwingi.Niliwahi kufanya kazi na jamaa mmoja toka Pakistan kila kitu anakijua yeye,Ndio maana mifumo ya serikali na bunge ni dizaini ile ile ya ukileta kujua tunakujulisha....
Waziri Mkuu aliepita wengi walitegemea ukombozi toka kwake,muda kila ulivyo kwenda akajisahau kama wanao mzunguka wengi wajuaji wakambwagilia mbali.
 
Kwa kweli Wapakistan walijazwa propaganda sijui na nani, yaaani ukiongea na Raia wa Pakistan ni full uzalendo, wanaliamini jeshi lao,dini yao,ardhi yao na wanawake wao kushinda kitu chochote ni wabishi ukimwambia kitu utasikia i knowwwww my friend na rafudhi yao,tena gusia siasa za India na Afghanistan ndiyo utajuujui.
 
Hiyo Pakistan ni former imperial British Colony hivyo watu kitabu kimekubali kishenzi mtu humdanganyi kitu na kila mmoja anajiona msomi wa Oxford au Cambridge.

Hawa watawala wetu hawa wa ccm wakidumbukizwa ndani ya Pakistan hawawezi kutawala hata kwa masaa 8 tu.
 
Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyemudu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4,3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali wa serekali kuendelea kutawala

Sababu nyingine ni mfumo wa mahakama, Pakistan mahakama mda wowote inamuondolea kinga waziri mkuu na
Waslaimie hapo Khaibar Pass
 
Vile vile Wapaka ndiyo Madalali wakubwa wa Ngada toka Afganistan
 
Back
Top Bottom