Mkuu kwanini na sisi tusilete hoja na sio hivi vijembe vya juu juu??
Akikujibu unitag na mie. Afrika Mara nyingi tumekuwa tukiangaika kubadilisha chupa ila mvinyo ule ule nafikiri imefikia hatua mtusikilize na sie tunao nataka kurudishiwa magavana Maana mkoroni mweusi ni hatari kuliko magavana kutoka Ulaya...
Upo sahihi kbs naunga mkono ila sio watanzania tu Sema Waafrika wote mbona nyie pia hiyo Kenya mbona ni Shamba La Familia ya Kenyatta Ardhi yote ni ya Mama Ngina Uhuru...Mbona mlishapewa jibu tayari, tatizo Watanzania mko wazembe kwenye kutumia ubongo na kuwaza umbali zaidi ya pua.
Kuna tusi hapo?Mkuu kwanini na sisi tusilete hoja na sio hivi vijembe vya juu juu??
Kwanini nasi tusivimbe na Korosho tunazouza Vietnam na India? Kwanini tusivimbe na Ufuta tunaouza Uarabuni na China??
Tulete mijadala endelevu na sio matusi..
Sasa hivi hamna hata apple au avocado 1 litakalovuka border kuja kwenu hukoMbona mlishapewa jibu tayari, tatizo Watanzania mko wazembe kwenye kutumia ubongo na kuwaza umbali zaidi ya pua.
Ukanda huu? Wacha mchezo. Kuna nchi gani inayoexport chai nyeusi (black tea) kushinda Kenya duniani? Nipe jibuKenya inajulikana ndo supplier mkubwa wa tea ukanda huu.
Hivi Corona bado ipoHongera na pongezi za dhati ziwafikie timu inayopambana kutafuta soko la mbali, hii muhimu sana maana humu EAC na Afrika ya kati wote tushawatia kwapani, sasa ni mwendo wa kuhakikisha na huko nje wote tunawaburuza.
Pakistan ambao tunawauzia majani chai kwa wingi, uagizaji wao ulipandisha 19.37% na kufanya biashara ya Ksh24.13 billion (au $225 million za Kimarekani).
Haka kainchi ketu kadogo tena asilimia kubwa kame tupu lakini akili kubwa ndio nguzo yetu....
========================================
Pakistan overtook Uganda to become the biggest buyer of Kenyan goods in the first five months of the year after supplies to Kampala were largely slowed by coronavirus-induced delays at the border.
Earnings from exports to Pakistan, predominantly tea, bumped 19.37 percent to Ksh24.13 billion ($225 million), pushing the world's fifth most populous country back to the summit of top importers of Kenyan products for the first time since 2017, official data shows.
The data collated by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows supplies to the land-locked Uganda, Kenyaβs largest overall trading partner, dropped 5.65 percent to Ksh20.22 billion ($189 million), largely hurt by delays in April and May due to a requirement for truckers to have Covid-free certificates.
That slowed delivery of goods β including vegetable oils, fuel, iron and steel as well as paper and paperboardβ to Kampala, pushing the country down to third biggest buyer of Kenyaβs after being leapfrogged by the United Kingdom (UK).
Revenue from exports to the UK, the former Kenyaβs colonial master, grew at the fastest pace of 30.06 percent to Ksh21.49 billion ($200 million) on increased demand for fresh farm produce such as fruits, cut flowers and vegetables.
Kenya Flower Council, the lobby for large-scale flower farms, said demand for Kenyan fresh produce in Europe and other key destinations has been rising since April at about 30 percent of targeted sales to current levels of nearly 75 percent.
Pakistan overtakes Uganda as top Kenyan goods buyer
Nafikir ninyi ndo mnafuata baada ya China na India.Ninyi ni no.3.Ukanda huu? Wacha mchezo. Kuna nchi gani inayoexport chai nyeusi (black tea) kushinda Kenya duniani? Nipe jibu
Kenya imeshinda India kwa mbali. China tu ndio imeshinda Kenya ila China wanaexport chai aina zote kuanzia Black tea, green tea na purple tea. Kwenye black tea Kenya inaongoza duniani. Kenya ni ya pili duniani kwa chai kwa ujumla. Yaani kwenye jedwali inayochanganya chai aina zote basi Kenya ni ya pili duniani.Nafikir ninyi ndo mnafuata baada ya China na India.Ninyi ni no.3.
| Trade value in million U.S. dollars | |
|---|---|
| China | 1,785.36 |
| Kenya | 1,370.49 |
| India | 766.11 |
| United Arab Emirates | 295.04 |
| Germany | 256.69 |
| Poland | 203.14 |
| Japan | 142.44 |
| United Kingdom | 140.43 |
| USA | 124.42 |
| Indonesia | 108.42 |
Kenya imeshinda India kwa mbali. China tu ndio imeshinda Kenya ila China wanaexport chai aina zote kuanzia Black tea, green tea na purple tea. Kwenye black tea Kenya inaongoza duniani. Kenya ni ya pili duniani kwa chai kwa ujumla. Yaani kwenye jedwali inayochanganya chai aina zote basi Kenya ni ya pili duniani.
Leading tea exporting countries worldwide in 2018(in million U.S. dollars)
Trade value in million U.S. dollars China 1,785.36 Kenya 1,370.49 India 766.11 United Arab Emirates 295.04 Germany 256.69 Poland 203.14 Japan 142.44 United Kingdom 140.43 USA 124.42 Indonesia 108.42
Main export countries for tea worldwide 2018 | Statista
Usijali tuko hapa kufunzana mambo mapya. Najua hukuwa unajua kuwa Kenya ndio the biggest exporter of black tea in the world. Tunaexport black tea kushinda nchi yoyote ile, hata kushinda China.
Bloomberg - Are you a robot?

Mimi nakupa hii ya karibuni 2019 kutoka tovuti maarufu ya worldstopexports.Ninyi ni wanne after China,India and Sri Lanka.
ππππππππ
Tea Exports by Country
je hayo mashamba mnayolima hiyo chai yanamilikiwa na wakenya? au ndio utakuta mashamba ya mabeberu na mchezo unabaki uleule serikali inachofaidi hapo ni kodi na raia kufanywa vibarua na faida yote inaenda kwa mabeberu, halafu watu kama wewe mnakuja huku na tambo zenu, kenya inaongoza kuuza black tea wakati mashamba yote ya mabeberuHaya umeshinda ila kwa hiyo list hamna Afrika, ni sisi tu, kwa kifupi tukiondoa mabeberu tubaki wenyewe, hakuna wakutuzdi bara hili....hehehe
Kwani pesa ya mpakistani inanuka mavi na ya mganda inanuka manukato? Wacha racism. Pesa ifuatwe mahali popote ipatikanapo.Mnafurahia kuwauzia zaidi wapakistani kuliko kufurahia kuwauzia ndugu zenu Uganda?
Hapo hujaprove kwamba Kenya sio biggest exporter of black tea. Ulichofanya wewe ni kuprove kwamba kenya ni ya nne 2019 kwenye kuexport chai ukijumlisha aina zote. Hilo jedwali halichagui rangi ya chai. Huko China na India wanapenda green tea. Waarabu, Wazungu na Waafrika wanapenda black tea. Bado nabakia kwenye point yangu ya awali kuwa Kenya ndio the biggest exporter of BLACK tea duniani. Sasa soma hii link ya reuters inayosema wazi wazi bila kuficha kuwa Kenya ndio biggest exporter of black tea na inazungumzia mwaka wa 2019.Mimi nakupa hii ya karibuni 2019 kutoka tovuti maarufu ya worldstopexports.Ninyi ni wanne after China,India and Sri Lanka.
ππππππππ
Tea Exports by Country