Pakistan sasa ndio inaongoza kwa kuagiza bidhaa kutoka Kenya, ikumbukwe na Marekani tunaingia nao mkataba

Pakistan sasa ndio inaongoza kwa kuagiza bidhaa kutoka Kenya, ikumbukwe na Marekani tunaingia nao mkataba

Akikujibu unitag na mie. Afrika Mara nyingi tumekuwa tukiangaika kubadilisha chupa ila mvinyo ule ule nafikiri imefikia hatua mtusikilize na sie tunao nataka kurudishiwa magavana Maana mkoroni mweusi ni hatari kuliko magavana kutoka Ulaya...

Mbona mlishapewa jibu tayari, tatizo Watanzania mko wazembe kwenye kutumia ubongo na kuwaza umbali zaidi ya pua.
 
Mbona mlishapewa jibu tayari, tatizo Watanzania mko wazembe kwenye kutumia ubongo na kuwaza umbali zaidi ya pua.
Upo sahihi kbs naunga mkono ila sio watanzania tu Sema Waafrika wote mbona nyie pia hiyo Kenya mbona ni Shamba La Familia ya Kenyatta Ardhi yote ni ya Mama Ngina Uhuru...
 
Mkuu kwanini na sisi tusilete hoja na sio hivi vijembe vya juu juu??

Kwanini nasi tusivimbe na Korosho tunazouza Vietnam na India? Kwanini tusivimbe na Ufuta tunaouza Uarabuni na China??

Tulete mijadala endelevu na sio matusi..
Kuna tusi hapo?
 
Ongereni majiran na naskia mumefanikiwa kufikisha maambukizi 10000+ ya COVID-19 na kuifanya kenya kuwa ndio taifa pekee A.Mashariki na kati
 
Hongera na pongezi za dhati ziwafikie timu inayopambana kutafuta soko la mbali, hii muhimu sana maana humu EAC na Afrika ya kati wote tushawatia kwapani, sasa ni mwendo wa kuhakikisha na huko nje wote tunawaburuza.

Pakistan ambao tunawauzia majani chai kwa wingi, uagizaji wao ulipandisha 19.37% na kufanya biashara ya Ksh24.13 billion (au $225 million za Kimarekani).

Haka kainchi ketu kadogo tena asilimia kubwa kame tupu lakini akili kubwa ndio nguzo yetu....

========================================

Pakistan overtook Uganda to become the biggest buyer of Kenyan goods in the first five months of the year after supplies to Kampala were largely slowed by coronavirus-induced delays at the border.

Earnings from exports to Pakistan, predominantly tea, bumped 19.37 percent to Ksh24.13 billion ($225 million), pushing the world's fifth most populous country back to the summit of top importers of Kenyan products for the first time since 2017, official data shows.

The data collated by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows supplies to the land-locked Uganda, Kenya’s largest overall trading partner, dropped 5.65 percent to Ksh20.22 billion ($189 million), largely hurt by delays in April and May due to a requirement for truckers to have Covid-free certificates.

That slowed delivery of goods – including vegetable oils, fuel, iron and steel as well as paper and paperboard– to Kampala, pushing the country down to third biggest buyer of Kenya’s after being leapfrogged by the United Kingdom (UK).

Revenue from exports to the UK, the former Kenya’s colonial master, grew at the fastest pace of 30.06 percent to Ksh21.49 billion ($200 million) on increased demand for fresh farm produce such as fruits, cut flowers and vegetables.

Kenya Flower Council, the lobby for large-scale flower farms, said demand for Kenyan fresh produce in Europe and other key destinations has been rising since April at about 30 percent of targeted sales to current levels of nearly 75 percent.

Pakistan overtakes Uganda as top Kenyan goods buyer
Hivi Corona bado ipo
 
Nafikir ninyi ndo mnafuata baada ya China na India.Ninyi ni no.3.
Kenya imeshinda India kwa mbali. China tu ndio imeshinda Kenya ila China wanaexport chai aina zote kuanzia Black tea, green tea na purple tea. Kwenye black tea Kenya inaongoza duniani. Kenya ni ya pili duniani kwa chai kwa ujumla. Yaani kwenye jedwali inayochanganya chai aina zote basi Kenya ni ya pili duniani.

Leading tea exporting countries worldwide in 2018(in million U.S. dollars)

Trade value in million U.S. dollars
China1,785.36
Kenya1,370.49
India766.11
United Arab Emirates295.04
Germany256.69
Poland203.14
Japan142.44
United Kingdom140.43
USA124.42
Indonesia108.42

Main export countries for tea worldwide 2018 | Statista

Usijali tuko hapa kufunzana mambo mapya. Najua hukuwa unajua kuwa Kenya ndio the biggest exporter of black tea in the world. Tunaexport black tea kushinda nchi yoyote ile, hata kushinda China.

Bloomberg - Are you a robot?
 
Saf sana, halafu watu hushangaa kwanini tunaongoza kiuchumi ukanda huu, michezo kama hii ndio siri yetu yaani tunaongoza dunia yote kwa hili la majani chai.
 
Kenya imeshinda India kwa mbali. China tu ndio imeshinda Kenya ila China wanaexport chai aina zote kuanzia Black tea, green tea na purple tea. Kwenye black tea Kenya inaongoza duniani. Kenya ni ya pili duniani kwa chai kwa ujumla. Yaani kwenye jedwali inayochanganya chai aina zote basi Kenya ni ya pili duniani.

Leading tea exporting countries worldwide in 2018(in million U.S. dollars)

Trade value in million U.S. dollars
China1,785.36
Kenya1,370.49
India766.11
United Arab Emirates295.04
Germany256.69
Poland203.14
Japan142.44
United Kingdom140.43
USA124.42
Indonesia108.42

Main export countries for tea worldwide 2018 | Statista

Usijali tuko hapa kufunzana mambo mapya. Najua hukuwa unajua kuwa Kenya ndio the biggest exporter of black tea in the world. Tunaexport black tea kushinda nchi yoyote ile, hata kushinda China.

Bloomberg - Are you a robot?

Mimi nakupa hii ya karibuni 2019 kutoka tovuti maarufu ya worldstopexports.Ninyi ni wanne after China,India and Sri Lanka.
👇👇👇👇👇👇👇👇

Tea Exports by Country
 
Hapo unaondoa chai ya Tanzania na Malawi inayopitia mombasa. Soko letu la chai tunafungua wenyewe sasa.
 
Mimi nakupa hii ya karibuni 2019 kutoka tovuti maarufu ya worldstopexports.Ninyi ni wanne after China,India and Sri Lanka.
👇👇👇👇👇👇👇👇

Tea Exports by Country

Haya umeshinda ila kwa hiyo list hamna Afrika, ni sisi tu, kwa kifupi tukiondoa mabeberu tubaki wenyewe, hakuna wakutuzdi bara hili....hehehe
 
Haya umeshinda ila kwa hiyo list hamna Afrika, ni sisi tu, kwa kifupi tukiondoa mabeberu tubaki wenyewe, hakuna wakutuzdi bara hili....hehehe
je hayo mashamba mnayolima hiyo chai yanamilikiwa na wakenya? au ndio utakuta mashamba ya mabeberu na mchezo unabaki uleule serikali inachofaidi hapo ni kodi na raia kufanywa vibarua na faida yote inaenda kwa mabeberu, halafu watu kama wewe mnakuja huku na tambo zenu, kenya inaongoza kuuza black tea wakati mashamba yote ya mabeberu
 
Mnafurahia kuwauzia zaidi wapakistani kuliko kufurahia kuwauzia ndugu zenu Uganda?
 
Mimi nakupa hii ya karibuni 2019 kutoka tovuti maarufu ya worldstopexports.Ninyi ni wanne after China,India and Sri Lanka.
👇👇👇👇👇👇👇👇

Tea Exports by Country
Hapo hujaprove kwamba Kenya sio biggest exporter of black tea. Ulichofanya wewe ni kuprove kwamba kenya ni ya nne 2019 kwenye kuexport chai ukijumlisha aina zote. Hilo jedwali halichagui rangi ya chai. Huko China na India wanapenda green tea. Waarabu, Wazungu na Waafrika wanapenda black tea. Bado nabakia kwenye point yangu ya awali kuwa Kenya ndio the biggest exporter of BLACK tea duniani. Sasa soma hii link ya reuters inayosema wazi wazi bila kuficha kuwa Kenya ndio biggest exporter of black tea na inazungumzia mwaka wa 2019.

Kenya's tea export earnings drop 16% in 2019 on low prices

A worker picks tea leaves at a plantation near the town of Limuru in Kiambu County, near Nairobi, Kenya, January 20, 2020. REUTERS/Baz Ratner

NAIROBI (Reuters) - Kenya’s earnings from tea exports dropped by 16.4% last year to 117 billion shillings ($1.16 billion) as production edged down and average prices of the commodity slid, the industry regulator said on Friday.
The East African nation, which is the biggest exporter of black tea in the world, produced 458.85 million kilograms of the crop, down 6.95% from the previous year, the regulator Tea Directorate said in a report.

“Lower earnings were attributed to low auction prices,” the regulator said.
The average price of Kenyan tea fell to $2.21 per kilogramme during the period, from $2.58 per kg a year earlier, the Tea Directorate said, attributing the drop to an oversupply.

Production is likely to increase marginally this year along with export earnings, it said. Some of the main buyers of Kenyan tea include Pakistan, Egypt and Britain.
($1 = 100.7500 Kenyan shillings)

Kenya's tea export earnings drop 16% in 2019 on low prices
 
Back
Top Bottom