Pakistan sasa ndio inaongoza kwa kuagiza bidhaa kutoka Kenya, ikumbukwe na Marekani tunaingia nao mkataba

Hiyo ya black tea ni sawa na wala sijapinga.Mnaongoza!
 
Bure kabisa !!!
ndo nini sasa kujimwambafy wakati bado hali yako mi dhaifu
 
Kwani pesa ya mpakistani inanuka mavi na ya mganda inanuka manukato? Wacha racism. Pesa ifuatwe mahali popote ipatikanapo.
Hutakiwi kujisifia kijinga hivo....mbona Uganda walipokua wanaongoza hamkuwasifia? Acha kua watumwa wa fikra
 
Tanzania hakuna Uhuru wa habari kwa hiyo miaka 100 inayokuja hakutakua na any reference material ya kusoma
Kutakua tu na mapambio ya CCM kwa library za tz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakudanganya uhuru upo sana tu
 
Mnafurahia kuwauzia zaidi wapakistani kuliko kufurahia kuwauzia ndugu zenu Uganda?
Tunafurahia ongezeko la uuzaji. Kama tungekuwa tumeongeza uuzaji wa bidhaa Tanzania, tungefurahia pia.
Its business, nothing personal.

Waganda wakiongeza ununuaji na kuwapita wapakistani, tunajisifia pia.
 
Tunafurahia ongezeko la uuzaji..
Kama tungekuwa tumeongeza uuzaji wa bidhaa Tanzania, tungefurahia pia..
Its business, nothing personal.

Waganda wakiongeza ununuaji na kuwapita wapakistani, tunajisifia pia.
Mbona hamkuwasifia walipokua wanaongoza? Utumwa wa fikra
 
As the world bank predicted doom, that Kenyan economy would grow by 2% only, Q1 growth is 4.9%.

In Q2 capital spending on Infrastructure has gone up driven by private investments in road and energy especially the kshs 62 billion Nairobi expressway whose construction has begun.

Q2 has also seen growth in Manufacturing of personal protection equipment and hygiene products, where Kenya is now among the top manufacturers in africa with exports destined to Uganda, south africa, south sudan, DRC etc.

Conclusion: The resilience of the Kenyan economy always surprises in times of crisis.
 
Ndio umesema nini hapa labda, nashauri urudi kitandani ukamilishe usingizi kisha uje uhariri hili bandiko lako bila maruerue.
Hapo hujanya kama wiki unasubiri mgao wa maji kibera
 
hongera zetu sn kwa hili dili na mpakistani...ss na wao ni wamojaa! yaani tunaendana, waswahili tupa kuleeee...........^😂
 
Mbona ni vitu vya kawaida sana hivi? Demand ya Tanzanite kutoka Tanzania ni kubwa kuliko uwezo wetu wa ku supply, lakini hatujisifu wala kuvimba.
Sasa unaringia nani na kitu ambacho kinapatikana ardhini!??? Yani hata kama lile eneo la ardhi linaloitwa Tanzania lingekua linaishi nyani na tumbiri pekee na hakungekua na binadamu hata mmoja, bado hio Tanzanite ingekua ni export kubwa manake kampuni za kigeni bado zingefika hapo na kuchimba migodi.
Jisifie na kitu ambacho bila jasho, mikono au ujasiriamali wa mtanzania hicho kitu hakingefanyika, kwahivyo hata afadhali ungenisifia na uuzaji wa korosho manake ni nyinyi wananchi ndo mlipanda korosho, mkavuna, mkatayarisha ndo mkauza. Lakini madini hamkuyapanda, kazi yenu kupeana leseni yachimbwe, mketi chini mgoje madini yauzwe alafu faida mpewe % flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…