Wakuu,
Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba.
Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni muhimu sana kuelekeza macho nchi nyingine kama hizo,
Nadhani tusiendelee kukariri sehemu ya kuchukua bidhaa.
Hao jamaa hawana promo lakini siku watu wengi wakistuka watajua kumbe wanapoteza muda kwingine na machimbo bora yako pakistan, tusiwachukulie poa jamaa wako vizuri.