Pakistan wana bidhaa nzuri na bora, lakini tumekariri Dubai, Uturuki, China na Thailand

Akili ya Mwafrika, kazi kusifia vitu vya wenzake yeye mwenyewe hajiulizi ni lini atakuwa kama hao anaowasifia ??!!, tunayo safari ndefu sana ya kujitambua
Mtu yoyote yule akifanya vizuri anastahili sifa bila kujali rangi ya ngozi yake.
Wewe inakuuma nini kuona watu wanaisifia Paskitan kwa kutoa bidhaa bora?
 
Wakuu,

Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba

Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni muhimu sana kuelekeza macho nchi nyingine kama hizo,
Nadhani tusiendelee kukariri sehemu ya kuchukua bidhaa

Hao jamaa hawana promo lakini siku watu wengi wakistuka watajua kumbe wanapoteza muda kwingine na machimbo bora yako pakistan, tusiwachukulie poa jamaa wako vizuri

Tatizo lao kusupport ugaidi na chuki za kidini ndo maana dunia kama imewapuuza kama inavoifanyia Syria….majanga ya tetemeko wamepata wote na uturuki cha ajabu michango syria hawaioni[emoji848][emoji848]

Nilitafuta dawa moja inaitwa vancomycin… dukan zimejaa za pakistan nikaanza kuingiwa na hofu cyo feki kweli hii[emoji3][emoji3]
 
Ila watu wananunua sababu ya ubora.

Vya Tanzania vingi hutumia mbao mbovu ukikaa vibaya zinavunjika
Means ndio uwezo wako wa kipesa ulipoishia hapo, Sofa za ubora zipo pia zinazotemgenezwa hapa bongo, unajikuna unapofikia. Shida ilikuwa fenicha za pumba na maranda ya mbao toka China zilizokuwa zinaizwa bei ya chini mno na kuua ajira za maelfu ya vijana nchini
 
Mtu yoyote yule akifanya vizuri anastahili sifa bila kujali rangi ya ngozi yake.
Wewe inakuuma nini kuona watu wanaisifia Paskitan kwa kutoa bidhaa bora?

Mimi siumii sana kwa pakistani kusifiwa au nchi yoyote kusifiwa, kinachoniuma saaana ni sisi kutojitambua na kujiuliza ni lini tutakuwa kama hao tunaowasifia??, wao wamefika hapo kwa juhudi gani??, tufanye kipi? je tunakosa nini nasi tufike hapo walipo na hata kuwazidi ili na wao siku moja waanze kutusifia katika mambo yetu na wawe wanunuzi wa bidhaa zetu nk nk,

Huo ndio wivu wa kimaendeleo ambao ninaona sisi waafrika hatuna tulichobakinacho tu ni admiration kwa wenzetu tu, je hiyo ndio sifa nzuri??
 
Mifumo ya elimu kwetu imekua tatizo kubwa mtu anaamini akiwa na cheti cha degree ndio usomi kumbe alipoteza muda kwa elimu za nadharia tu ambazo alichosoma form one anafika form four keshasahau, kazi za mikono hatuzipi kipaumbele, tunasoma vita ya majimaji ambayo haitokusaidia chochote kabisa,
IMG_1343.jpg

IMG_1342.jpg

Wapakistan wanatengeneza bunduki na pistol mbalimbali kama zigana kwa mikono yao na ni bora sana sema wanapigwa burn na mataifa makubwa wazalishaji wa silaha, lakini ujuzi huo wanao toka wanazaliwa
 
Enzi Za Jizasi Iliitwa Kwa Jina Gani Hyo Pakstan

India, pakistan na Bangladesh zote ilikuwa ni Bara moja likiitwa Bara hindi au Indian Subcontinent , Pakistan ilijimega kutoka Subcontinent mwaka 1957 na ikaitwa Pakistan nchi ya Waisilamu wengi, Bangladesh nayo ilijitenga lini sijui, sasa ndio imebaki India pekee ya Wahindu Mabaniani na Waisilamu wachache na Mabudha.
 
Mifumo ya elimu kwetu imekua tatizo kubwa mtu anaamini akiwa na cheti cha degree ndio usomi kumbe alipoteza muda kwa elimu za nadharia tu ambazo alichosoma form one anafika form four keshasahau, kazi za mikono hatuzipi kipaumbele, tunasoma vita ya majimaji ambayo haitokusaidia chochote kabisa,
View attachment 2575514
View attachment 2575515
Wapakistan wanatengeneza bunduki na pistol mbalimbali kama zigana kwa mikono yao na ni bora sana sema wanapigwa burn na mataifa makubwa wazalishaji wa silaha, lakini ujuzi huo wanao toka wanazaliwa

You are 💯% correct ✔✔
 
Mimi siumii sana kwa pakistani kusifiwa au nchi yoyote kusifiwa, kinachoniuma saaana ni sisi kutojitambua na kujiuliza ni lini tutakuwa kama hao tunaowasifia??, wao wamefika hapo kwa juhudi gani??, tufanye kipi? je tunakosa nini nasi tufike hapo walipo na hata kuwazidi ili na wao siku moja waanze kutusifia katika mambo yetu na wawe wanunuzi wa bidhaa zetu nk nk,

Huo ndio wivu wa kimaendeleo ambao ninaona sisi waafrika hatuna tulichobakinacho tu ni admiration kwa wenzetu tu, je hiyo ndio sifa nzuri??
Ninaelewa hisia zako za Waafrika kutojitambua na kutaka kufikia maendeleo zaidi kama nchi. Ni muhimu sana kwetu kama watu na taifa kujitambua na kutambua uwezo wetu ili tuweze kufikia maendeleo tunayoyataka.

Hata hivyo, napenda kukueleza kuwa kusifiwa kwa mafanikio ya wengine au kuwasifu wengine si vibaya kabisa. Ni jambo la kawaida kwa watu kusifiwa au kusifu wengine, na hii inaweza kuwa motisha kubwa ya kufikia mafanikio zaidi.

Lakini pia, ni muhimu kujifunza kutoka kwa wengine na kuiga mazuri kutoka kwa nchi na watu ambao wanafanya vizuri katika maeneo mbalimbali. Tunaweza kujifunza mbinu, mikakati, na mifano bora kutoka kwa nchi zilizoendelea au watu waliopata mafanikio makubwa.

Tunapojifunza kutoka kwa wengine, tunaweza kufanya vizuri zaidi na hatimaye kufikia maendeleo tunayotaka. Kwa hiyo, kusifiwa kwa mafanikio ya wengine na kuwasifu wengine si vibaya, lakini ni muhimu kujitambua na kufanya kazi kwa bidii ili kufikia maendeleo yetu kama taifa.
 
Hapo umeongea vyema na mimi nakuunga mkono.

Sasa kila tunapapowasifia hao wenzetu basi nasi tusisahau kujiuliza; je na sisi hao tunaowasifia watatusifia lini na kwa kitu gani??, sifa zinakuwa na tija pale tu na sisi tutakapojenga "Wivu" wa kutaka kusifiwa na hao tunaowasifu na hiyo.ni moja ya chachu ya maendeleo na hata, kama usemavyo, tujifunze kutoka kwao.

Kusifu tu bila kuwa aspired kuwa kama wao au zaidi yao ni ugonjwa.
 
Ninaelewa hisia zako za Waafrika kutojitambua na kutaka kufikia maendeleo zaidi kama nchi. Ni muhimu sana kwetu kama watu na taifa kujitambua na kutambua uwezo wetu ili tuweze kufikia maendeleo tunayoyataka.

Hata hivyo, napenda kukueleza kuwa kusifiwa kwa mafanikio ya wengine au kuwasifu wengine si vibaya kabisa. Ni jambo la kawaida kwa watu kusifiwa au kusifu wengine, na hii inaweza kuwa motisha kubwa ya kufikia mafanikio zaidi.

Lakini pia, ni muhimu kujifunza kutoka kwa wengine na kuiga mazuri kutoka kwa nchi na watu ambao wanafanya vizuri katika maeneo mbalimbali. Tunaweza kujifunza mbinu, mikakati, na mifano bora kutoka kwa nchi zilizoendelea au watu waliopata mafanikio makubwa.

Tunapojifunza kutoka kwa wengine, tunaweza kufanya vizuri zaidi na hatimaye kufikia maendeleo tunayotaka. Kwa hiyo, kusifiwa kwa mafanikio ya wengine na kuwasifu wengine si vibaya, lakini ni muhimu kujitambua na kufanya kazi kwa bidii ili kufikia maendeleo yetu kama taifa.

Kizazi cha mwijaku na babalevo upate watu wa kujishughulisha na viwanda vidogovidogo? Acha kabisa muda mwingine inatia hasira lakini ndio hivo
 
India na Pakistan Wana bidhaa quality Sana kuzidi wachina...
Mpakistani number moja kushinda wote hao ulowataja kuna figisu figisu yeye na india ndio maana india anampiga vita sana Pakistani kwa kusema kama hakuna usalama kuna magaidi lkn Paki ndio mwisho wa matatizo wana akili sana na hard working
 
Kizazi cha mwijaku na babalevo upate watu wa kujishughulisha na viwanda vidogovidogo? Acha kabisa muda mwingine inatia hasira lakini ndio hivo
Nilibahatika kukaa Iran enzi hizo baharia...
Nlirudigi na bidhaa mpaka watu wakawa wanashanga walifikiri nmezitoa usa...nguo tu zilikuwa high quality jeans,jackets nk

Ova
 
Uko sahihi kabisa bidhaa zao bora mno, kuliko hata za europe
 
Back
Top Bottom