Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Mtu yoyote yule akifanya vizuri anastahili sifa bila kujali rangi ya ngozi yake.Akili ya Mwafrika, kazi kusifia vitu vya wenzake yeye mwenyewe hajiulizi ni lini atakuwa kama hao anaowasifia ??!!, tunayo safari ndefu sana ya kujitambua
Wakuu,
Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba
Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni muhimu sana kuelekeza macho nchi nyingine kama hizo,
Nadhani tusiendelee kukariri sehemu ya kuchukua bidhaa
Hao jamaa hawana promo lakini siku watu wengi wakistuka watajua kumbe wanapoteza muda kwingine na machimbo bora yako pakistan, tusiwachukulie poa jamaa wako vizuri
Means ndio uwezo wako wa kipesa ulipoishia hapo, Sofa za ubora zipo pia zinazotemgenezwa hapa bongo, unajikuna unapofikia. Shida ilikuwa fenicha za pumba na maranda ya mbao toka China zilizokuwa zinaizwa bei ya chini mno na kuua ajira za maelfu ya vijana nchiniIla watu wananunua sababu ya ubora.
Vya Tanzania vingi hutumia mbao mbovu ukikaa vibaya zinavunjika
Mtu yoyote yule akifanya vizuri anastahili sifa bila kujali rangi ya ngozi yake.
Wewe inakuuma nini kuona watu wanaisifia Paskitan kwa kutoa bidhaa bora?
Mimi siumii sana kwa pakistani kusifiwa au nchi yoyote kusifiwa, kinachoniuma saaana ni sisi kutojitambua na kujiuliza ni lini tutakuwa kama hao tunaowasifia??, wao wamefika hapo kwa juhudi gani??, tufanye kipi? je tunakosa nini nasi tufike hapo walipo na hata kuwazidi ili na wao siku moja waanze kutusifia katika mambo yetu na wawe wanunuzi wa bidhaa zetu nk nk,
Huo ndio wivu wa kimaendeleo ambao ninaona sisi waafrika hatuna tulichobakinacho tu ni admiration kwa wenzetu tu, je hiyo ndio sifa nzuri??
Enzi Za Jizasi Iliitwa Kwa Jina Gani Hyo Pakstan
Mifumo ya elimu kwetu imekua tatizo kubwa mtu anaamini akiwa na cheti cha degree ndio usomi kumbe alipoteza muda kwa elimu za nadharia tu ambazo alichosoma form one anafika form four keshasahau, kazi za mikono hatuzipi kipaumbele, tunasoma vita ya majimaji ambayo haitokusaidia chochote kabisa,
View attachment 2575514
View attachment 2575515
Wapakistan wanatengeneza bunduki na pistol mbalimbali kama zigana kwa mikono yao na ni bora sana sema wanapigwa burn na mataifa makubwa wazalishaji wa silaha, lakini ujuzi huo wanao toka wanazaliwa
Ninaelewa hisia zako za Waafrika kutojitambua na kutaka kufikia maendeleo zaidi kama nchi. Ni muhimu sana kwetu kama watu na taifa kujitambua na kutambua uwezo wetu ili tuweze kufikia maendeleo tunayoyataka.Mimi siumii sana kwa pakistani kusifiwa au nchi yoyote kusifiwa, kinachoniuma saaana ni sisi kutojitambua na kujiuliza ni lini tutakuwa kama hao tunaowasifia??, wao wamefika hapo kwa juhudi gani??, tufanye kipi? je tunakosa nini nasi tufike hapo walipo na hata kuwazidi ili na wao siku moja waanze kutusifia katika mambo yetu na wawe wanunuzi wa bidhaa zetu nk nk,
Huo ndio wivu wa kimaendeleo ambao ninaona sisi waafrika hatuna tulichobakinacho tu ni admiration kwa wenzetu tu, je hiyo ndio sifa nzuri??
Ninaelewa hisia zako za Waafrika kutojitambua na kutaka kufikia maendeleo zaidi kama nchi. Ni muhimu sana kwetu kama watu na taifa kujitambua na kutambua uwezo wetu ili tuweze kufikia maendeleo tunayoyataka.
Hata hivyo, napenda kukueleza kuwa kusifiwa kwa mafanikio ya wengine au kuwasifu wengine si vibaya kabisa. Ni jambo la kawaida kwa watu kusifiwa au kusifu wengine, na hii inaweza kuwa motisha kubwa ya kufikia mafanikio zaidi.
Lakini pia, ni muhimu kujifunza kutoka kwa wengine na kuiga mazuri kutoka kwa nchi na watu ambao wanafanya vizuri katika maeneo mbalimbali. Tunaweza kujifunza mbinu, mikakati, na mifano bora kutoka kwa nchi zilizoendelea au watu waliopata mafanikio makubwa.
Tunapojifunza kutoka kwa wengine, tunaweza kufanya vizuri zaidi na hatimaye kufikia maendeleo tunayotaka. Kwa hiyo, kusifiwa kwa mafanikio ya wengine na kuwasifu wengine si vibaya, lakini ni muhimu kujitambua na kufanya kazi kwa bidii ili kufikia maendeleo yetu kama taifa.

Mpakistani number moja kushinda wote hao ulowataja kuna figisu figisu yeye na india ndio maana india anampiga vita sana Pakistani kwa kusema kama hakuna usalama kuna magaidi lkn Paki ndio mwisho wa matatizo wana akili sana na hard workingIndia na Pakistan Wana bidhaa quality Sana kuzidi wachina...
Nilibahatika kukaa Iran enzi hizo baharia...Kizazi cha mwijaku na babalevo upate watu wa kujishughulisha na viwanda vidogovidogo? Acha kabisa muda mwingine inatia hasira lakini ndio hivo
Kizaz cha kupiga domo tuKizazi cha mwijaku na babalevo upate watu wa kujishughulisha na viwanda vidogovidogo? Acha kabisa muda mwingine inatia hasira lakini ndio hivo
Uko sahihi kabisa bidhaa zao bora mno, kuliko hata za europeNilibahatika kukaa Iran enzi hizo baharia...
Nlirudigi na bidhaa mpaka watu wakawa wanashanga walifikiri nmezitoa usa...nguo tu zilikuwa high quality jeans,jackets nk
Ova