Pakistan: Watu 59 wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga

Pakistan: Watu 59 wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga

Kwani wakristo hawana shida ?? Hayo yanayofanyika Ukraina, peru , mexiko , DRC , yanafanywa na waislamu pia ??
Huko Peru,Mexico na DRC huwa wanaua kwa sababu ya Mungu wao/Dini yao?

Uislam ni janga sana hapa duniani
 
Huko Peru,Mexico na DRC huwa wanaua kwa sababu ya Mungu wao/Dini yao?

Uislam ni janga sana hapa duniani
Kwani wakiuwana hukupigia simu kukuambia
Ukristo ni raha tu ndio ukakuruhusu mwanamume kuolewa na wengine wanaowa na kuolewa na majibwa

1675186836564.png

1675186896950.png
 
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif amedai magaidi wanafanya hivyo ili kuwatisha wanaolinda Usalama ambapo kulikuwa na askari 300 hadi 400 katika eneo la tukio.

Amesema shambulizi hilo halina uhusiano na dini bali ni sehemu ya ugaidi.

Aidha, kikundi cha Taliban kimekanusha kuhusika na tukio hilo baada ya kudaiwa mmoja wa Wanachama wao ndiye amehusika na kujilipua.
Kwa lugha rahisi ametekeleza ilani ya chama chake
 
Kwani wakristo hawana shida ?? Hayo yanayofanyika Ukraina, peru , mexiko , DRC , yanafanywa na waislamu pia ??
Ndg usibishe, hii dini imeshaharibika, Zaman ilikuwa dini ya maana sana ila kwa sasa ni ya machinjachinja
 
Ndg usibishe, hii dini imeshaharibika, Zaman ilikuwa dini ya maana sana ila kwa sasa ni ya machinjachinja
Ni kweli ukristo haujaharibika ni upendo tu , wanaume kuolewa na wanaume , wanawake kulans , wengine kujibadilisha tupu zao , wengine kuanza kumuabudu shetani kanisani. Wengine wanaowa na kuolewa na majibwa , haya ni upendo tu
 
Back
Top Bottom