Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1661162256139.png

Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali.

Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama mwenzake, Shahbaz Gill, anayezuiliwa kwa tuhuma za uchochezi.

Tangu kuondolewa madarakani mwezi Aprili, amekuwa mkosoaji mkubwa wa Serikali na Jeshi la nchi hiyo.

.........................................................

Pakistan's police have charged the country's former Prime Minister, Imran Khan, under anti-terror laws.
Their investigation comes after he accused the police and judiciary of detaining and torturing his close aide.

Tensions are high in the country, with the former leader's supporters gathering outside his house vowing to "take over" if he is arrested. Since being ousted from power in April, Mr Khan has been a vocal critic of the government and the country's army.

Police announced the charges after the cricketer-turned-politician accused authorities of torturing his close aide, who is himself being detained under sedition charges.

In a public speech on Saturday, Mr Khan condemned Islamabad's police chief and a female judge for the detention and alleged mistreatment of his party colleague, Shahbaz Gill.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom