Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kabisa yani, tena sijui wa mkoa ganiMbona sura ni ya m-baba wa mkoani kabisa hii
Mbona anafanana na baby wako bujibuji?😛
Huyu ni wa Mara bila ubishi
ahaaaaaAcha ufalasi wewe ushaambiwa wanaume wa Dar ndo tunadhiki sana bob sio...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wa maraMbona sura ni ya m-baba wa mkoani kabisa hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uonezi kwa wanaume wa darMbona sura ni ya m-baba wa mkoani kabisa hii
Ukikaa Dar zaidi ya miezi 6 na wewe unahesabika mwanaume wa Dar hata kama umetoka mikoani.mi nataka nijue wanaume wa dar ....ni wazaramo tu au wote hata tunaotoka mkoa ila tupo dar kutafuta????