Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kabisa yani wanaume wa Dar na sura ya kazi hivi?hapana asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uonezi kwa wanaume wa dar
cc. miss natafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yani wanaume wa Dar na sura ya kazi hivi?hapana asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uonezi kwa wanaume wa dar
cc. miss natafuta
hapana mimi nnamiaka mi3, ila mnitoe kwenye hilo kundi.....sababu zangu ni hizi chipsi situmii...Ukikaa Dar zaidi ya miezi 6 na wewe unahesabika mwanaume wa Dar hata kama umetoka mikoani.
-Ndumilakuwili-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yani wanaume wa Dar na sura ya kazi hivi?hapana asee
Wotemi nataka nijue wanaume wa dar ....ni wazaramo tu au wote hata tunaotoka mkoa ila tupo dar kutafuta????
ukikaa dar kiasi cha ugali wa mkiani kuisha mwilini na kuanza kupenda vitu kama shilawadu..basi wewe ni wa darmi nataka nijue wanaume wa dar ....ni wazaramo tu au wote hata tunaotoka mkoa ila tupo dar kutafuta????
Msimkatae huyo n mwanaume wa Dar anakaa jirani na dampo ...uso wa kazi kutokana na hasira kila siku ya harufu na moshi mkali wa uchomaji uchafuKabisa yani wanaume wa Dar na sura ya kazi hivi?hapana asee
ahaaaa Bujibuji sijui nae kashikiwa canada na bombadier? sijamuona kitambo jamani