Pale akili ya mwanaume wa Dar inapofika mwisho

Ukikaa Dar zaidi ya miezi 6 na wewe unahesabika mwanaume wa Dar hata kama umetoka mikoani.

-Ndumilakuwili-
hapana mimi nnamiaka mi3, ila mnitoe kwenye hilo kundi.....sababu zangu ni hizi chipsi situmii...
kazi sichagui...siishi kwa mtu....shemeji yenu kwenye mechi naenda naye hata vi5+...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Ni Full matatizo kama "Harmonize"
 
mi nataka nijue wanaume wa dar ....ni wazaramo tu au wote hata tunaotoka mkoa ila tupo dar kutafuta????
ukikaa dar kiasi cha ugali wa mkiani kuisha mwilini na kuanza kupenda vitu kama shilawadu..basi wewe ni wa dar
 
Eti baada ya kuuza figo zote....figo inauzwa moja...hapo ktk hizo zingine Duuuh
 
Kabisa yani wanaume wa Dar na sura ya kazi hivi?hapana asee
Msimkatae huyo n mwanaume wa Dar anakaa jirani na dampo ...uso wa kazi kutokana na hasira kila siku ya harufu na moshi mkali wa uchomaji uchafu
 
Dah, uyo anaweza kuwa ni baba wa familia fulani, mme, mjomba, baba mkubwa/mdogo, kaka etc. Busara na hekima inatakiwa kutumika wakati wote. ingekuwa ni picha ya baba yako mzazi imeandikwa maneno ayo ungeileta hapa kwa mbwembwe hizo?

sent from kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…