Wewe ushawahi kufanya hivo?Kuna sheria ya kuwazuwia kutumia uhuru huo?
Wewe unajua mimi naishi wapi?Wewe ushawahi kufanya hivo?
Hawa washangiliaji wanaitwa ''low life people''. Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa huko. Hiyo ilikuwa ni kile kipindi cha akina Dewji vs Gulamali. Baada ya kujanjaruka nikagundua kuwa hawa jamaa wanatuchezea akili tu na wanapata utajiri na umaarufu kwa mtaji wa ujinga wetu. Siku hizi hawanipati ng'o. Bongo tambarare, ukiwa na porojo nyingi (haijalishi kama unaongea la maana) unapata umaarufu na utajiri kwa kutumia mtaji wa watu-nyumbu ambao wako wa kumwaga.Azam waarabu wa Pemba
GSM waarabu wa songea
Vs
Mo muhindi wa singida
Washangiliaji Waswahili wa kariakoo
Ligi kuu Uingereza hua Ina amshwa na nani?Kiukweli nimewachukia sana MO na hicho kikaragosi cha kike, Manara kuondoka Simba ligi kuu nzima imepungua hari/amshaamsha saa hii ishu za usajili, simba day vyote havina hamasa. Wale watekaji wapo?
Sometimes get ur hands dirtyAzam kazingua sana dadeki hata kama ya biashara duh sio uungwana huo
Mkuu Hivi Juzi Wakati Mo.anaongea na waandishi Wa Habari Kuhusu Yeye Kulipa Simba Ile 20bn Azam Hawakulusha Live Matangazo ya Press Yake?Leo Haji Manara kamshukia sana Mo Dewji akimtuhumu kuuonea wivu ubalozi wake aliopewa na azam company. Siwezi sema ni ukweli au uongo ila nilichosikitika ni azam tv kurusha tukio hilo wakiwa na maslahi na huyo Manara
Ni wazi kuwa walifanya hiko kitendo makusudi kibiashara kumu attack Mo Dewji, Simba sc, METL kupitia Haji Manara
... baada ya jiwe kusepa kila panya anatokezea shimoni sasa! Enzi zake hapana aliyestahili kushangiliwa isipokuwa yeye peke yake! Sifa zote alistahili yeye ole wake aliyejaribu kujitwalia japo nukta ya sifa! Ilisaidia sana maana upumbavu aliofanya Manara usingevumilika kwa kiwango chochote kile!Hukuona alikua anasifia Azam tu na watangazaji wa Azam wakawa wanashangilia?!
Hapo vipi