Pale Azam TV inapotumika kumshambulia Mo Dewji na METL

Pale Azam TV inapotumika kumshambulia Mo Dewji na METL

Kiukweli nimewachukia sana MO na hicho kikaragosi cha kike, Manara kuondoka Simba ligi kuu nzima imepungua hari/amshaamsha saa hii ishu za usajili, simba day vyote havina hamasa. Wale watekaji wapo?
 
Azam waarabu wa Pemba
GSM waarabu wa songea
Vs
Mo muhindi wa singida

Washangiliaji Waswahili wa kariakoo
Hawa washangiliaji wanaitwa ''low life people''. Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa huko. Hiyo ilikuwa ni kile kipindi cha akina Dewji vs Gulamali. Baada ya kujanjaruka nikagundua kuwa hawa jamaa wanatuchezea akili tu na wanapata utajiri na umaarufu kwa mtaji wa ujinga wetu. Siku hizi hawanipati ng'o. Bongo tambarare, ukiwa na porojo nyingi (haijalishi kama unaongea la maana) unapata umaarufu na utajiri kwa kutumia mtaji wa watu-nyumbu ambao wako wa kumwaga.
 
Nimeshindwa kumuelewa uyu jamaa nisaidieni nyie mliomuelewa labda
 
Kama mo alimkosea haji sioni tatizo,tatizo lipo pale kama kasingiziwa!
 
Leo Haji Manara kamshukia sana Mo Dewji akimtuhumu kuuonea wivu ubalozi wake aliopewa na azam company. Siwezi sema ni ukweli au uongo ila nilichosikitika ni azam tv kurusha tukio hilo wakiwa na maslahi na huyo Manara

Ni wazi kuwa walifanya hiko kitendo makusudi kibiashara kumu attack Mo Dewji, Simba sc, METL kupitia Haji Manara
Mkuu Hivi Juzi Wakati Mo.anaongea na waandishi Wa Habari Kuhusu Yeye Kulipa Simba Ile 20bn Azam Hawakulusha Live Matangazo ya Press Yake?
 
Hata kajamaa kumbe kako weak hivi.....wenzio tukitemwa huwa tunabakia kimya....
 
Hukuona alikua anasifia Azam tu na watangazaji wa Azam wakawa wanashangilia?!
Hapo vipi
... baada ya jiwe kusepa kila panya anatokezea shimoni sasa! Enzi zake hapana aliyestahili kushangiliwa isipokuwa yeye peke yake! Sifa zote alistahili yeye ole wake aliyejaribu kujitwalia japo nukta ya sifa! Ilisaidia sana maana upumbavu aliofanya Manara usingevumilika kwa kiwango chochote kile!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom