Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

Iko hivi;

MIAKA 12-16: Anapoteza bikra kwa secondary boys au primary boys, hapo ndipo anaanza rasmi safari ya maisha ya kubadili wanaume

MIAKA 17-20: Hapa ndipo anapojiona kuwa dunia yote yake kwanza anavutia. Anaanza kuwapotezea boys wa rika lake kwa sababu ya vijizawadi vya hapa na pale kutoka kwa wanaume wenye umri mkubwa.

Huu umri una vituko sana anaanza kuweka standards za wanaume wa kumuoa awe na gari, kazi nzuri, handsome tall, black, white na mazagazaga kibao. Acha tuone atatimiza ndoto zake?

UMRI 21-23: Bado yuko kwenye peak ya urembo, anaanza kuuza sura anajiunga TikTok, snapchat, insta anaaanza kuweka pics na vids akionyesha tako, shape, kifua, kiulimi nje huku akinengua.

UMRI 24-25: Wanaume wenye nia naye wanajitokeza ili wafanye naye maisha unaweza kuwaita potential suitors, anawakataa kwa sababu anataka uhuru, kuishi night life na party life na bado yuko kwenye hesabu kali kwani analinganisha vipato vya wanaume anaotoka nao.

MIAKA 26-27: Anaanza kuona marafiki zake wa kike wakiolewa. Wazazi wanaanza kumuuliza kwa nini mpaka leo hajamleta mwanaume nyumbani.

Akili inamrudi anaanza kuwatext na kuwacall marafiki zake wa zamani wa kiume, ma-EX na wanaume aliowakataa alipokuwa kwenye ubora wake. Anagundua wengine wameoa, au wako kwenye serious relationships na mabinti wabichi na wazuri kuliko yeye.

Hapa anawalenga hasa wale aliowajua SIMPS ili awahadae wajichanganye wafanye naye maisha.

Katika umri huu kuna mawili APATE au APATWE. Wanaume wanajifanya kama wako serious naye na commitment fake anajikuta anaishia kupigwa hit and run.

Dunia inakuwa chungu kwake anabaki kulia kwa uchungu kwani kila mahusiano anaishia kuchezewa mwili na hisia. Umri nao unasonga urembo unapotea kwa kasi.

UMRI 28-30: Huyooo mbio kwa Mwamposa na manabii anakuwa church-woman, wengine kwa waganga wengine sehemu zote mbili. Kwa manabii anategemea atapata mpendwa katika bwana wa kufanya naye maisha. Loooh!! Anagundua hata wainjilisti nao wahuni wanapiga wanasepa.

MIAKA 31-33: Anaanza kuwa feminist na kujaribu kuwaharibu mabinti wadogo kwa ushauri wa kijinga. Anakuwa active sana kwenye mitandao ya kijamii kusema ndoa sio mafanikio, wanaume wote ni mbwa, wanaume matapeli, mara 50-50 lengo tu awaharibu mabinti. Mara nyingi ndani huwa hakosi dildo ya 15cm.

Katika awamu hii ya maisha yake, anakumbuka maisha yake ya zamani na kugundua kuwa aliishi maisha yasiyo na maana na amefanya mistake kubwa sana maishani.

NB: Katika umri wa miaka 21-30 hapo wengine huzalishwa na kufanywa single moms, akishabikiriwa safari ya maisha umalaya inaanza na kuanzia 30s ideas za ufeminism zinaanza.

SOMO KWA WANAUME
  • Usikubali mwanamke yoyote mwenye umri mkubwa unayekutana popote iwe kanisani akufanye her retirement plan akikwambia dont judge my past ndugu yangu huyo anajificha tu kwenye kivuli cha kanisa ni afisa utamu mstaafu.
  • Usikubali kufanya maisha na mwanamke ambaye alikupotezea kipindi yuko kwenye ubora wake halafu anaanza kujipendekeza kwako dakika za jioni. Ikiwezekana hit her and run.
  • Usikubali kufanya maisha na single moms na feminists kwani walishautumia vibaya ubinti wao
Learn or perish
😂😂😂
 
Nafikiri ni kuathiriwa na malezi na familia hakuna sabbu kulaumu waliopitia hayo Bali tunaotarajia kuwa wazazi tujikite Kujifunza malezi kuja kuwa wamama wazuri na wababa wazuri Kwa kizazi kinachokuja bila hivo hiv nyuzi zitatusuta nafs tutapopata mabinti wa ovyo ambao tulipoteza muda kuwananga tukaacha Kujifunza kuwa walezi wazuri 🙏
Hilo nalo neno
 
Me nataka mashangazi ma feminist kama wewe niwatoe machungu ya kucheza ujana wao
We tangu lini mwanamke akataka mtetezi🤣🤣 unatafuta faraja kwenye u feminist
Masikini inaonekana hizo kauli zinawafariji sana na kuwaondolea stress, anyway nani kakuambia mimi huwa nadeal na mashoga, wewe ni lini uliwahi kuwa mwanamke ukajua kwamba wanawake hawataki kutetewa
 
Kwa mara ya kwanza Kungwi Feminist Jadda ka-surender hoja ya Kiume juu ya tabia mbovu za Ke kimahusiano tangu dunia iumbwe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Masikini kumbe wengi hamjaielewa hiyo comment, hizi mada zinazidi kudhihirisha uwezo mdogo wa kufikiri wa wanaume wengi humu jf, mnapenda sana kujifariji kwa kutuita majina ambayo mnadhani tunaumia
 
Utaolewa na ma "SIMP" na si wale munaowataka ninyi tena,yaani toka miaka 17 hadi 31 utomb.we,iwe rahisi tu mwanaume anajielewa akuweke ndani?
Aloo kumbe wanaume wa jf mna definition yenu nyingine ya feminist na hamsemi, kwahiyo feminist ni mwanamke anaye fanywa hovyo siyo, masikini mnatia huruma yani mnazidi kudhihirisha uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja
 
Hizo dildo mbona had wanaume wanazitumia 😹😹
Wengine ndani ya ndoa wanawaomba wake zao wawachomeke ili kuwaboost 😹😹

Na wanaume kataa ndoa ndio viburudisho vyao hivyo wanajipump huku wanaangalia warumi..!

Mod’s nahitaji ulinzi wa comment yangu sitaki member yoyote aiguse puliiizzzz 🤣🤣🤣
 
Hizo dildo mbona had wanaume wanazitumia 😹😹
Wengine ndani ya ndoa wanawaomba wake zao wawachomeke ili kuwaboost 😹😹

Na wanaume kataa ndoa ndio viburudisho vyao hivyo wanajipump huku wanaangalia warumi..!

Mod’s nahitaji ulinzi wa comment yangu sitaki member yoyote aiguse puliiizzzz 🤣🤣🤣
Hizo shots za vodka zishaanza kazi yake😂😂😂😂😂😂.
Embu lala.
 
Mi basi ni tatizo, nimeanza kuwa feminist nikiwa almost 17-21 hadi leo. 😂😂😂

Kuonesha niko serious na hili jambo, nimefanya courses kibao za feminism na gender issues.

Anyways, nitaolewa na bado nitakuwa na audacity ya kuwaambia mabinti wadogo “Ndoa si fanikio la pekee” in fact inaweza isiwe fanikio vilevile, Tuelewane, ndoa si mbaya, ndoa na mtu sahihi ndio kitu kizuri. tuweke mkazo kwenye usahihi wa watu. Msiwe kama CCM kutwa kujadili amani bila kutaja neno haki.

Sisi ndio feminists, Y”all better get used to us. 🥂
You sound lunatic
 
Aloo kumbe wanaume wa jf mna definition yenu nyingine ya feminist na hamsemi, kwahiyo feminist ni mwanamke anaye fanywa hovyo siyo, masikini mnatia huruma yani mnazidi kudhihirisha uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja
Jadda huna credibility ya kua kwenye kundi la wanawake wewe ni MSAGAJI 🤣🤣
 
Back
Top Bottom