R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Mar 31, 2021 #241 Semahengere said: Wote ni ng'ombe wa kusifia tu Click to expand... Acha kulinganisha ngo'ombe wnaotupa nyama na maziwa na vitu vya kipumbavu. Uwe na heshima dhidi ya ngombe.
Semahengere said: Wote ni ng'ombe wa kusifia tu Click to expand... Acha kulinganisha ngo'ombe wnaotupa nyama na maziwa na vitu vya kipumbavu. Uwe na heshima dhidi ya ngombe.
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,511 Reaction score 5,390 Mar 31, 2021 #242 Inawezekana kama miongoni mwa wabunge 364, bwana mkuu alikosa wa kumteua kuwa naibu waziri madini unategemea proffesional financial audit report kama ya CAG ichambuliwe na kibajaji . Labda Dr. Kimei anaweza asipopewa chapuo la kuwa MOF
Inawezekana kama miongoni mwa wabunge 364, bwana mkuu alikosa wa kumteua kuwa naibu waziri madini unategemea proffesional financial audit report kama ya CAG ichambuliwe na kibajaji . Labda Dr. Kimei anaweza asipopewa chapuo la kuwa MOF
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Mar 31, 2021 #243 Sio kwa Wabunge hawa tunaowafahamu! Sio kwa bunge hili la ndugai! RIP Sitta, Anna makinda tunakukumbuka!
Sio kwa Wabunge hawa tunaowafahamu! Sio kwa bunge hili la ndugai! RIP Sitta, Anna makinda tunakukumbuka!