Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

Inawezekana kama miongoni mwa wabunge 364, bwana mkuu alikosa wa kumteua kuwa naibu waziri madini unategemea proffesional financial audit report kama ya CAG ichambuliwe na kibajaji .
Labda Dr. Kimei anaweza asipopewa chapuo la kuwa MOF
 
Sio kwa Wabunge hawa tunaowafahamu!
Sio kwa bunge hili la ndugai!
RIP Sitta, Anna makinda tunakukumbuka!
 
Back
Top Bottom