Pale bwana harusi anapoonesha uweZo...!!!!

Hahahah, bibi harusi alikua ana observe na kupata picha shughuli atakayokua nayo for the rest of her life
 
Dada mwenye nyekundu mpaka uvumilivu umemshinda ha ha ha ha.
Hahah umenotice hiyo kitu mkuu? Halaf ukiangalia hata mwanzoni alikuepo katika jopo lililomfata nakushinikiza arudi stejini
 
Kama Mimi ndio Baba mkwe namshika mkono mwanangu na kuondoka nae kuwa huyu jamaa mfujaji wa mke,aataenda mchakaza mwanangu aisee!!!
 
Hanishindi mimi siku ya harusi yangu na Mama Gaude.
 
kwa wakongo...

ni kama masai asipoua simba aoi, lkin sijui kama zipo hizi mila nwdyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…