donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #21
HahahMtanifanya nikahamie Congo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahMtanifanya nikahamie Congo
Hahahah, bibi harusi alikua ana observe na kupata picha shughuli atakayokua nayo for the rest of her lifeSasa mbona bibi harusi katulia tuu haonekani hapo anaacha mume wake anakumbatiwa na watu kibao.... tena kumbato la kumng'ang'ania kwelikweli huku miguuni ikiinuliwa juu looh ndo mwanzo wa kuibiwa mume hukoo wee anakinadisha hivyo hata mie nimeshawishika na mauno khaaa.
HahahaaahaMpuuzi anakata mauno utazan kapewa mke bure!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkijikuta katikati ya tendo wote mnakatika mauno........ weeh inakiwaga ni utamu kolea. ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana harusi itakuwa dancer wa Koffi[emoji1] [emoji1]
Hahah umenotice hiyo kitu mkuu? Halaf ukiangalia hata mwanzoni alikuepo katika jopo lililomfata nakushinikiza arudi stejiniDada mwenye nyekundu mpaka uvumilivu umemshinda ha ha ha ha.
HahahaKama Mimi ndio Baba mkwe namshika mkono mwanangu na kuondoka nae kuwa huyu jamaa mfujaji wa mke,aataenda mchakaza mwanangu aisee!!!
Hahaha inaelekea mama gaude alicheka sanaHanishindi mimi siku ya harusi yangu na Mama Gaude.
Hizo zilipendwa mkuu siku hizi wamasai wanafanya hadi pedicure na manicurekwa wakongo...
ni kama masai asipoua simba aoi, lkin sijui kama zipo hizi mila nwdyz
Anajua kutomboka hatariHuyu jamaa ni konyo
E bwana ee.....,Jamaa Fundi kwa kweli.
Utadhani una baleheacha bas kasie sure umedata kumbe mnapenda mauno
Sio Zaid ya huyu